Namna ya ku-deal na Gold digger

😂😂 makutupora na wenzako piteni hapa
 
inaonesha tangu mnafahamiana ulimzoesha pesa na akajua unazo, hakukupenda bali alipenda pesa zako.

Ukimuhitaji weka dau mezani kula endelea na life lako ila huyo sio ke wa kufanya nae maisha.
Mkuu mi nataka nipige chini kabisa kuanzia leo
 
Yeah pesa mbele kama mfuko wa shati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…