Namna ya kuandaa chakula bora murua kwa jina la kichuri

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,404
Reaction score
5,682
Kichuri ni chakula kinachotengenezwa kutokana na mabaki ya chakula kilichosagwa tumboni mwa ng'ombe kabla ya kutolewa kama kinyesi.

Kinapendeza sana kuliwa pamoja na nyama choma. Ni maarufu miongoni mwa Wakurya.

Mabaki ya tumbo (kichuri mbichi) kutoka ng'ombe/mbuzi — safisha vizuri.

Nyongo (bile) kidogo (hiari, inatoa ladha kali).

Chumvi.

Maji kidogo kwa kupika.

Hatua za kuandaa:
Safisha kichuri vizuri: Baada ya kuchinjwa mnyama, toa yaliyomo tumboni na suuza kwa maji safi mara kadhaa ili kuondoa uchafu wowote.

Wengine hupika moja kwa moja, lakini usafi ni muhimu.

Kata au ichukue kama ilivyo: Wengine hupika kama ilivyo, wengine hukatakata kidogo.

Pika:
Weka kwenye sufuria au chungu.
Ongeza chumvi, nyongo kidogo (kama unataka ladha kali), na maji kidogo.

Chemsha kwa moto wa wastani hadi iive na iwe laini (muda wa dakika 20-40, kulingana na kiasi na moto).

Inatumika zaidi pamoja na nyama choma (mishikaki au choma ya kawaida) na ugali.

Pia unaweza ukaingia pamoja na nyama especially maini na inakuwa tamu sana ukiila na pilau

Ni chakula cha jadi kinachosaidia mmengenyo wa chakula (hasa nyama) na kuepuka kuvimbiwa kwa wengine.

Hakikisha mnyama alikuwa na afya njema na usafi unazingatiwa ili kuepuka magonjwa.

Screenshot_20260514_151619_Google.jpg
 
View attachment 3588651
 
Sisi kikwetu huwa tunachukua
Damu
Tumbo
Mapupu
Nyongo
Ini hata figo pia tunachanganya pamoja lakni zingatia tumbo unaliosha vizuri afu kama unataka kufanya hvo mnyama anatakiwa kuwa na afya njema..
 
Nimeona huo msosi, mate yamenidondoka 😋

Kwa jamii ambazo hawajui hiko chakula, wanaweza kushindwa kula, japo ni msosi mzuri sana kwa kweli
 
Kupata ladha kamili ya KICHURI
    • Kiandaliwe sehemu ya asili yake MARA
    • kuwe na NYAMA CHOMA ya kutosha
    • Ugali mdogo wa UDAGA au MTAMA
    • kinanoga zaidi ukila kwa KUJUMUIKA

Watu wengi hudhani kichuri huchanganywa na kinyesi, Huu ni upotoshaji, Kichuri huwa kinaandaliwa kwenye utumbo mdogo na sio utumbo mpana.

Labda tukumbushane somo la sayansi shule ya msingi, kazi ya utumbo mdogo ni kuhifadhi sehemu ndogo ya chakula kilichomengenywa chenye virutubisho muhimu tu, virutubisho vya kipekee kama Vitamini B, Wanga (carbohydrate) na Madini muhimu kama chuma na Zinc, ambayo mwili huyafyonza kwajili ya nguvu, ukuaji, na kazi nyingine. Hivyo unapokula kichuri unakula chakula kilichojaa virutubisho.

Kwenye utumbo mpana ndiko hupatikana kinyesi, ambacho ni mabaki ya chakula yasiyo na faida kwenye mwili. mabaki hayo hugeuzwa kuwa magumu ili yaweze kutolewa nje ya mwili kwa urahisi.

View: https://www.facebook.com/groups/1038713189641134/posts/3193233410855757/
 
Unachanganya na tu poop kiasi

Ohh asante kwa elimu! Nilijua yale yenyewe kabisa! Nitaonja someday hivi vitutubishi☺️
 
Back
Top Bottom