Namna ya kuandaa chakula bora murua kwa jina la kichuri

Kichuri ni chakula kinachotengenezwa kutokana na mabaki ya chakula kilichosagwa tumboni mwa ng'ombe kabla ya kutolewa kama kinyesi.

Kinapendeza sana kuliwa pamoja na nyama choma. Ni maarufu miongoni mwa Wakurya.

Mabaki ya tumbo (kichuri mbichi) kutoka ng'ombe/mbuzi — safisha vizuri.

Nyongo (bile) kidogo (hiari, inatoa ladha kali).

Chumvi.

Maji kidogo kwa kupika.

Hatua za kuandaa:
Safisha kichuri vizuri: Baada ya kuchinjwa mnyama, toa yaliyomo tumboni na suuza kwa maji safi mara kadhaa ili kuondoa uchafu wowote.

Wengine hupika moja kwa moja, lakini usafi ni muhimu.

Kata au ichukue kama ilivyo: Wengine hupika kama ilivyo, wengine hukatakata kidogo.

Pika:
Weka kwenye sufuria au chungu.
Ongeza chumvi, nyongo kidogo (kama unataka ladha kali), na maji kidogo.

Chemsha kwa moto wa wastani hadi iive na iwe laini (muda wa dakika 20-40, kulingana na kiasi na moto).

Inatumika zaidi pamoja na nyama choma (mishikaki au choma ya kawaida) na ugali.

Pia unaweza ukaingia pamoja na nyama especially maini na inakuwa tamu sana ukiila na pilau

Ni chakula cha jadi kinachosaidia mmengenyo wa chakula (hasa nyama) na kuepuka kuvimbiwa kwa wengine.

Hakikisha mnyama alikuwa na afya njema na usafi unazingatiwa ili kuepuka magonjwa.

View attachment 3588651
Rekebisha uzi Kichuri sio chakula ni appetizer
 
Attachments

  • FB_IMG_1774722631384.jpg
    FB_IMG_1774722631384.jpg
    45.2 KB · Views: 10
Ndoche ono ndebelekera ahire togogere umusubhati. But kichuri hakipatikani kwa kila utumbo wa ngombe au mbuzi. Kichuri kimo ndani ya utumbo special ni laini na chungu nasio kizito kama hayo mabaki. Na ngombe mzima unaweza kupata nusu lita mbuzi mzima unaweza kupata hata 200ml it depends na mnyama alivokua analiswa.
 
Hiyo intro ni kikongo?
 
Kichuri ni chakula kinachotengenezwa kutokana na mabaki ya chakula kilichosagwa tumboni mwa ng'ombe kabla ya kutolewa kama kinyesi.

Kinapendeza sana kuliwa pamoja na nyama choma. Ni maarufu miongoni mwa Wakurya.

Mabaki ya tumbo (kichuri mbichi) kutoka ng'ombe/mbuzi — safisha vizuri.

Nyongo (bile) kidogo (hiari, inatoa ladha kali).

Chumvi.

Maji kidogo kwa kupika.

Hatua za kuandaa:
Safisha kichuri vizuri: Baada ya kuchinjwa mnyama, toa yaliyomo tumboni na suuza kwa maji safi mara kadhaa ili kuondoa uchafu wowote.

Wengine hupika moja kwa moja, lakini usafi ni muhimu.

Kata au ichukue kama ilivyo: Wengine hupika kama ilivyo, wengine hukatakata kidogo.

Pika:
Weka kwenye sufuria au chungu.
Ongeza chumvi, nyongo kidogo (kama unataka ladha kali), na maji kidogo.

Chemsha kwa moto wa wastani hadi iive na iwe laini (muda wa dakika 20-40, kulingana na kiasi na moto).

Inatumika zaidi pamoja na nyama choma (mishikaki au choma ya kawaida) na ugali.

Pia unaweza ukaingia pamoja na nyama especially maini na inakuwa tamu sana ukiila na pilau

Ni chakula cha jadi kinachosaidia mmengenyo wa chakula (hasa nyama) na kuepuka kuvimbiwa kwa wengine.

Hakikisha mnyama alikuwa na afya njema na usafi unazingatiwa ili kuepuka magonjwa.

View attachment 3588651
Ni kama unakula kisamvu kibichi😁
 
Back
Top Bottom