Namna ya kuandaa chakula bora murua kwa jina la kichuri

Kuna mpuuzi mmoja aliwahi kunisokota eti kichuri kinaongeza nguvu za kiume alloooo.....🫤
Yaani nilikila kwa bidii, nikajikuta naongeza kukasirika tu mazeee.....😮‍💨
Mwa J sio mtu kabisa yule mbwa hata siku akifufuka maiti yake ikawe kuni kwenye tanuru la jahanam...🤨
 
Ndoche ono ndebelekera ahire togogere umusubhati. But kichuri hakipatikani kwa kila utumbo wa ngombe au mbuzi. Kichuri kimo ndani ya utumbo special ni laini na chungu nasio kizito kama hayo mabaki. Na ngombe mzima unaweza kupata nusu lita mbuzi mzima unaweza kupata hata 200ml it depends na mnyama alivokua analiswa.
Amang'ana
 
Usokiri mnene🙏🙏
 
Back
Top Bottom