Nimeiona ila sikuwa najua kama ni wa kwetu huyu🤦🏽♀️ Aiseee!! Ile bar huwa imejaa malaya pale nje au ni diamond?Alikunywa akashindwa kulipa bill ya Tsh 8000,akapishana kauli na kaka meneja ikabidi mabaunsa na wahudumu waanze kumshambulia Kwa vyuma,mbao,mateke ,ngumi.Alifia hospital baada ya kujeruhiwa
Pole sana mkuu, mlisoma naye wapi?Classmate downtown pale the Rocker mkali wangu wa maana sana, kala kichapo heavy in da club dam'n...😭
Sema jamaa buku nane ndo upige mtu na chuma!Alikunywa akashindwa kulipa bill ya Tsh 8000,akapishana kauli na kaka meneja ikabidi mabaunsa na wahudumu waanze kumshambulia Kwa vyuma,mbao,mateke ,ngumi.Alifia hospital baada ya kujeruhiwa
Pole sana mkuu, mlisoma naye wapi?
Nipo baa hapa tangu saa kumi jioni, niliagiza kreti mbili na wahuni wangu tumezimaliza,ni wakati wa kulipa,nimesachi mifuko yote hela sina,sijui nimeibiwa au vipi, nafanyaje ndugu? Au nitumie mbinu gani kati ya ulizozitaja?
Bar hawaende chukuchuku 🤣3 kuwa na silaha iwe ya jadi au ya moto
Bar hasa usiku Kuna ubabe kwaiyo kuwa na mguu wa kuku ni vyema zaidi.
Watu makini Huwa hawaendi bar chukuchuku
Wahuni hawachekeshi watakufirimba 🤣5. Kuwa na usafiri au nauli. Sio unalewa pesa zote, wahuni watakufanya vibaya.
Hukukagua mlango wa dharula?😂Nipo baa hapa tangu saa kumi jioni, niliagiza kreti mbili na wahuni wangu tumezimaliza,ni wakati wa kulipa,nimesachi mifuko yote hela sina,sijui nimeibiwa au vipi, nafanyaje ndugu? Au nitumie mbinu gani kati ya ulizozitaja?
Yani niende kula bia nmebeba silaha...Baada ya taarifa kutoka Mwanza ya kuwa kijana ameuliwa na mabaunsa wa Bar, nimeona nitoe elimu kidogo ambayo haitolewi popote
Hii ni elimu ya mtaa
1. Bar sio sehemu ya watu wanyonge.
Ukijua wewe ni mlaini usikanyage bar au night clubs, watakupiga wakuuwe
2. Hakikisha una kampani.
Kampani itakuhakikishia usalama ndo maana matajiri hulipa machawa na wapambe ili kuwa na ulinzi kipaumbele
3 kuwa na silaha iwe ya jadi au ya moto
Bar hasa usiku Kuna ubabe kwaiyo kuwa na mguu wa kuku ni vyema zaidi.
Watu makini Huwa hawaendi bar chukuchuku
4 Kagua milango ya kutokea na kutoroka in case emergency ya fujo ikitokea.
Masela laZima wajue Chocho zote za ku escape labda ukiishiwa pesa na huku ushakunywa bia
5. Kuwa na usafiri au nauli. Sio unalewa pesa zote, wahuni watakufanya vibaya.
6. Achana na mademu wa bar.
Wajanja hatuchukuaji mademu wa bar, hawa ni j
Hatari kwanza wanakuletea maadui usiowajua au hata wao kukudhuru
7 Epuka migogoro isiyo ya laZima.
Usilete usela mavi, bar Kuna wahuni wamepinda na washalewa kukumwaga ubongo hawachelewi
8. Epuka rafiki mpya wa bar
Usijenge sana urafiki na mtu ambaye ndo umekutana nae kwenye pombe
9. Usitafute umaarufu bar, watakuwa wahuni
Kunywa bia, dance, kula ondoka acha misifa
10. Wape tip kiaina hao mabaunsa ili ukizingua wawe upande wako
Kuna nini tena ?Ebu njoo pm mkuu...
ChaiBaada ya taarifa kutoka Mwanza ya kuwa kijana ameuliwa na mabaunsa wa Bar, nimeona nitoe elimu kidogo ambayo haitolewi popote
Hii ni elimu ya mtaa
1. Bar sio sehemu ya watu wanyonge.
Ukijua wewe ni mlaini usikanyage bar au night clubs, watakupiga wakuuwe
2. Hakikisha una kampani.
Kampani itakuhakikishia usalama ndo maana matajiri hulipa machawa na wapambe ili kuwa na ulinzi kipaumbele
3 kuwa na silaha iwe ya jadi au ya moto
Bar hasa usiku Kuna ubabe kwaiyo kuwa na mguu wa kuku ni vyema zaidi.
Watu makini Huwa hawaendi bar chukuchuku
4 Kagua milango ya kutokea na kutoroka in case emergency ya fujo ikitokea.
Masela laZima wajue Chocho zote za ku escape labda ukiishiwa pesa na huku ushakunywa bia
5. Kuwa na usafiri au nauli. Sio unalewa pesa zote, wahuni watakufanya vibaya.
6. Achana na mademu wa bar.
Wajanja hatuchukuaji mademu wa bar, hawa ni j
Hatari kwanza wanakuletea maadui usiowajua au hata wao kukudhuru
7 Epuka migogoro isiyo ya laZima.
Usilete usela mavi, bar Kuna wahuni wamepinda na washalewa kukumwaga ubongo hawachelewi
8. Epuka rafiki mpya wa bar
Usijenge sana urafiki na mtu ambaye ndo umekutana nae kwenye pombe
9. Usitafute umaarufu bar, watakuwa wahuni
Kunywa bia, dance, kula ondoka acha misifa
10. Wape tip kiaina hao mabaunsa ili ukizingua wawe upande wako
Mambo yasiwe mengi.11. Don't go at all.
ChaiMwamba kauliwa kwenye kiwanja changu cha nyumbani kabisa LAS VEGAS, R.I.P kwake. Sema mle tunakutana wababe tu na tukishalewa tunarushiana chupa za konyagi kama tunacheza mdako. Mle tunaingia wakurya kutoka kwenye vilima vya walunguli na kidogo wajaluo,wajita na wasukuma kwa mbali maana hao tukilianzisha vagi tunalianzisha kweli
Kibwagizo tu hiko.Pole sana mkuu, mlisoma naye wapi?