Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Ngoja nikamuulize kiongozi wangu KaweNdio hivyohivyo. Kwenye uwanja wa vita injili haina nafasi.
Mafundisho sio amri wala sheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikamuulize kiongozi wangu KaweNdio hivyohivyo. Kwenye uwanja wa vita injili haina nafasi.
Mafundisho sio amri wala sheria
Jifunze mgogoro huo ilianza lini, makubaliano mangapi yametiwa saini kati ya Palestine na Israel.Kwema Wakuu!
Vita inayoendelea huko Israel Vs Palestina (Hamas) inadhihirisha kuwa namna bora ya kukabiliana na Magaidi ni kutumia mbinu zao wenyewe, yaani kuwafanyia ugaidi mara mbili.
Kwa mfano, Kitendo cha Hamas kuvamia Israel na kuua Raia wasio na hatia ni kitendo cha kigaidi. Na Waisraeli na hata taifa lolote lile lisingekuwa na njia nyingine ya kufanya zaidi ya kutumia ugaidi ili kutokomeza magaidi.
"Tumia ugaidi kutokomeza magaidi"
Gaidi akiua kigaidi Watu wako 10 basi wewe fanya hivyo mara kumi yake kwake kwa kutumia mbinu ileile.
Ambacho Hamas wangekifanya ambacho hata mimi ningekiunga mkono ni kutangaza vita na Waisrael, vita Rasmi, na kuwataka Raia wa Israel waondoke ili Hamas waweze kukabiliana na jeshi la Israel. Lakini sio kufanya ugaidi kisha kujificha kwenye makazi ya Watu.
Israel inaweza kuwa na matatizo Makubwa, ambayo Watu wengi hatuyaungi mkono lakini naweza kukubaliana na mbinu wanazotumia katika kudili na maadui zao.
Gaidi wakitandika Raia wako, wewe unaenda kutandika Raia na ndugu zao. Hiyo ni mbinu ambayo waisrael wanaijua na kuzitumia katika falsafa ya jino kwa jino, jicho kwa jicho, uhai kwa uhai. Kama Legend wao aitwaye Musa alivyowaagiza katika Torati;
Kumbukumbu 19:21 NMM
Msionyeshe huruma, uhai kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
Kutoka 21:
24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,
25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo.
"Umesema namna ya kukabiliana na magaidi ni kutumia mbinu wanazo tumia magaidi"
Nakuuliza tena.
China ilipambana vipi na terrorism Xinjiang ?
Waisrael wote nchi nzima ni kutoka dini ya kiyahudi ?Lile ni taifa la kiyahudi. Mbinu wanazotumia ni mbinu za kiyahudi kudili na adui zao. Hao adui wanaweza kuwa na dini au wasiwe na dini
Ngoja nikamuulize kiongozi wangu Kawe
Utofauti wao upo kwenye kuua watu wasio na hatia si ndio ?R3
Wayahudi sio wachina. Na wachina sio wayahudi.
Ni kama useme chui na Tiger katika mbinu za kimedani wanapokabiliana na adui zao.
Hawawezi kufanana
Waisrael wote nchi nzima ni kutoka dini ya kiyahudi ?
Utofauti wao upo kwenye kuua watu wasio na hatia si ndio ?
Nimeipenda saanaKumbukumbu 19:21 NMM
Msionyeshe huruma, uhai kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
Kutoka 21:
24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,
25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo
Hakuna wakristo, waiislam na watu wasio na dini Israel si ndio ?Uyahudi ni dini na pia ni taifa.
Dini ya Kiyahudi na taifa la kiyahudi) wayahudi, Jewish
Mtibeli noma sana wewe😀Kwema Wakuu!
Vita inayoendelea huko Israel Vs Palestina (Hamas) inadhihirisha kuwa namna bora ya kukabiliana na Magaidi ni kutumia mbinu zao wenyewe, yaani kuwafanyia ugaidi mara mbili.
Kwa mfano, Kitendo cha Hamas kuvamia Israel na kuua Raia wasio na hatia ni kitendo cha kigaidi. Na Waisraeli na hata taifa lolote lile lisingekuwa na njia nyingine ya kufanya zaidi ya kutumia ugaidi ili kutokomeza magaidi.
"Tumia ugaidi kutokomeza magaidi"
Gaidi akiua kigaidi Watu wako 10 basi wewe fanya hivyo mara kumi yake kwake kwa kutumia mbinu ileile.
Ambacho Hamas wangekifanya ambacho hata mimi ningekiunga mkono ni kutangaza vita na Waisrael, vita Rasmi, na kuwataka Raia wa Israel waondoke ili Hamas waweze kukabiliana na jeshi la Israel. Lakini sio kufanya ugaidi kisha kujificha kwenye makazi ya Watu.
Israel inaweza kuwa na matatizo Makubwa, ambayo Watu wengi hatuyaungi mkono lakini naweza kukubaliana na mbinu wanazotumia katika kudili na maadui zao.
Gaidi wakitandika Raia wako, wewe unaenda kutandika Raia na ndugu zao. Hiyo ni mbinu ambayo waisrael wanaijua na kuzitumia katika falsafa ya jino kwa jino, jicho kwa jicho, uhai kwa uhai. Kama Legend wao aitwaye Musa alivyowaagiza katika Torati;
Kumbukumbu 19:21 NMM
Msionyeshe huruma, uhai kwa uhai, jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu.
Kutoka 21:
24 jicho kwa jicho, jino kwa jino, mkono kwa mkono, mguu kwa mguu,
25kuchomwa moto kwa kuchomwa moto, jeraha kwa jeraha, na pigo kwa pigo.
Hakuna wakristo, waiislam na watu wasio na dini Israel si ndio ?
Nimeipenda saana
Watu wasio na hatia si ndio ?Kwenye vita kuua ni jambo la lazima.
Mtibeli noma sana wewe😀
KUmbe inaruhusiwa jino kwa jinoMusa mtata
Watu wasio na hatia si ndio ?
Sheria za vita zipoje ?
Israel yupo na vita na Palestine toka lini ?
Ila ukasema wanatumia mafundisho ya kiyahudi kutekeleza mauaji si ndio ?Hizo ni dini.
Ila taifa ni lakiyahudi.
Sio ajabu hao wanaorusha na kuua Hamas na wapalestina wakawepo waislam wayahudi
KUmbe inaruhusiwa jino kwa jino
Sheria za vita kumbe ni mafundisho ya torati toka lini imekuwa hivyo ?Sheria za vita kwa wayahudi zipo kwenye Torati. Hizo ndio wanazizingatia.