Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #81
Jifunze mgogoro huo ilianza lini, makubaliano mangapi yametiwa saini kati ya Palestine na Israel.
Jifunze Israel kukalia Palestine kwa mabavu.
Ndio uje na mambo ya ugaidi.
Hiyo Ramani ya Israel unajua aliichora nani?