and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
1. Anzisha Chama cha siasa, piga domo upate angalau Diwani, mbunge ruzuku kama zote.
2. Anzisha huduma za maombezi na kupata utajiri, utakusanya pesa za wavivu mpaka ukimbie,
3. Betting/Bahati Nasibu ya kujishindia Mamilioni kwa kucheza kwa Tsh 500 Tu.
4. Andaa matangazo ya ajira mishahara million 9 (take home) ila kujaza fomu 20,000 Tsh Tu,
5. Support Mpira wa miguu (ikibidi dhamini ligi za mchangani).
6. Anzisha baa au tamasha la muziki, weka na wapishi wa biryani, kitimoto na wahudumu wenye wezere,
7. Andaa matangazo ya kampuni mpya ya basin(hewa) weka nauli nusu bei, abiria atume kwa M-PESA siku 5 kabla ya safari. Utavuna pesa za wajinga