To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Kuna mdada aliandika utumbo Samia akareply....so inawezekanakuna mtu ananambia hapa mtumie msg kwenye insta yake anaweza kukujibu jamani inawezekana kweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mdada aliandika utumbo Samia akareply....so inawezekanakuna mtu ananambia hapa mtumie msg kwenye insta yake anaweza kukujibu jamani inawezekana kweli??
😂😂😂 huyo hana shida kuna watu wanashida hata huo muda wa kuandika utumbo hana je ni insta au tweeter?? kuna muda hua nawaza hata hizo ac zaweza kua kuna mtu anaziendesha sio yeyeKuna mdada aliandika utumbo Samia akareply....so inawezekana
Ndio. Inawezekana kabisa.kwanza niulize tena unaweza onana na raisi ukampa shida yako binafsi akusaidie?? ukumbuke huku chini hujapata msaada wa hio shida inawezekana??
😂😂😂 huyo hana shida kuna watu wanashida hata huo muda wa kuandika utumbo hana je ni insta au tweeter?? kuna muda hua nawaza hata hizo ac zaweza kua kuna mtu anaziendesha sio yeye
Karibu tuyajenge hii ni jeiefu.ooh shukran wewe umenielezea mambo nilokua siyajui
Swali zurihabari wanabodi,
naomba kufahamishwa au kujuzwa je nikitaka kuonana na mama samia yani face to face nifanyeje?? wazo hili limenijia kwa mfano unataka kuongea naye je unamngoja akiwa kwenye msafara unamuomba?? unamngoja afike ikulu ndogo mkoa anaotembelea unamfata?? akiwa safarini unampigia makelele "mama nina shida ya kuonana na wewe" je inaruhusiwa kwa mwananchi wa kawaida kumuona raisi wa nchi akaongea naye ana kwa ana?? je hua anajibu dm huko tweeter au instagram??
yaani ikitokea unataka kuonana na raisi ukiwamwananchi wa kawaida unatakiwa kufata hatua zipi??
Kumbe uko mkoani[emoji58]kwamba had niende dar au dodoma??
kwenye viwanja nampataje si ndio nitashushwa kama mbwa?? akimaliza tu kuomba kura namvamia na kilio au kwa namna gan??Wwewe kazi yako ni kumchagua tu baada ya hapo wewe na yeye ni mbingu na ardhi mambo ya kuonana kamtafute balozi wako wa nyumba kumi au mngoje 2025 viwanja vita kampeni
Hapana bibie. Nipo-nipo tu.nimekaribia mkuu au na ww mtu wa kitengo nn 🙉🙉