Namna ya kutazama Whatsapp status bila kuonekana

Ni dalali wa warembo hahaha natazama pisikali na sinunui..
 
Boss ukiishi kwa upanga utakufa kwa upanga, ukitaka usionekane kama umeangalia status ya mtu jua na wewe wakiangalia hutajua, same way kwa message issue ya blue tick.
 
Kisirani cha nini kwenye biashara.
 
Basi kazi sio nyepesi ...kuna mtu aliwahi ni block nikabadili simu nikaona namuona Watsap status
Mhh sio kweli
Labda aliku unblock

Au kama kama ulibadili namba, lakini kubadili simu na namba ikabaki ile ile? Hapo block inaendelea
 
Na huna mpango Bado wa kununua? Status zikoje hizo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…