Namna ya kutazama Whatsapp status bila kuonekana

Me natumia FM whatsapp kitambo tuu... ina features nyingi nzuri ubaya. wake kama hujui kuupdate na pia kwa iPhone users hawawezi kutumia
View attachment 2466552
Mnaboa sana
Siwapendiii

😂😂😂

Me mtu nikiweka status, nikaja ifuta. Akareply kisa tu mko na ant delete, uwa simjibu.
Namuona kama hazimtoshi, sababu inakuwa inaonyesha kabisa hii status imefutwa.
Sasa we unakaza nini kuendelea kuireply?

Naona mna view once unlimited 😂😂🙌


Sisi official wasap sahivi picha ya view once huwezi hata kui screenshot.
 
Yajayo yanafurahisha siku hizi kuna features mpya nyingi sanaaa😂



me nilianza kutumia hii sababu napenda dark themes... nikatekwa mazimaa
 
Interesting..
 
Unakuta kajaza bidhaa had ile ring inakua kama shanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…