Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Hao wanyama hawana huruma kwa binadamu sasa kwa nini mimi nimuonee huruma ? nyoka amelaaniwa na Mungu siku zote atakuwa adui yetu unaweza usimfanye chochote na akakugonga tuSasa why uwachokoze kwa kupita karibu yao, kila mtu aendelee na maisha yake uone kama kutakua na matatizo
Wale ni kama migambo tu wala sio wa kuwaogopanaona unawatafutia watu vita na maliasili bila kujua
usilolijua ni sawa na usiku wa giza mzee,hakuna askari katili tanzania kama games na magereza.Wale ni kama migambo tu wala sio wa kuwaogopa
Usipokuwa na ujasiri huwezi timiza dhamira zako
Vigezo na masharti kuzingatiwa una ngozi ya nyoka gani hapo na zipo ngapi?Mambo ya kutoa habari nusu ni bora usingeleta tangazo kabisa sasa soko liko wapi ? Nikiwakamata nawauzia wapi ?
Nishachoka kupoteza hela ya stationary ,posta na kwa afisa mtendaji KU apply kazi ambazo mtu huzipati
Wakati mapori yapo na yana fursa kama hzo
Bishara yenyewe ina changamoto kukata kibali,kwenda kukaa msituni.bahati mbaya umeumwa na nyokaMpaka hapa itoshe kusema hii biashara hujawahi fanya na huijui. Jambo dogo kama hili hufahamu wakati wewe ni dealer, hakuna mfanyabiashara haramu asiyejua sheria na kanuni. Wote wauza drugs, pembe za ndovu, nyamapori wanajua consequences
Hapana Mkuu .Hakugongi tu - lazima uwe umeingia kwenye 18 zake. Bro, Nyoka anaedaiwa kulaaniwa na Mungu sio huyu Reptile. Nyoka yule wa kwenye Biblia ni Shetani.Hao wanyama hawana huruma kwa binadamu sasa kwa nini mimi nimuonee huruma ? nyoka amelaaniwa na Mungu siku zote atakuwa adui yetu unaweza usimfanye chochote na akakugonga tu
Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao;
1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi
2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi
3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155'' shs 400,000/= kwa ngozi
4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi
5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi
* Mjulishe rafiki naye amjulishe rafiki watanzania tuchangamkie fursa hiyo? NB msiache kufatilia vibali View attachment 2072627
Unataka nyoka waishe eti kisa pesa tu. Acha tamaa na hujuma kwa viumbe vya mungu.Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao;
1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi
2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi
3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155'' shs 400,000/= kwa ngozi
4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi
5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi
* Mjulishe rafiki naye amjulishe rafiki watanzania tuchangamkie fursa hiyo? NB msiache kufatilia vibali View attachment 2072627
Karungu yeye shinyanga walikuwa wengi sana mpaka miaka ya 2000 sijajua sasa hivi maana umekuwa mji kubwa sana. Mnyama simpendi yule hata nipewe milioni siwexi mbeba.Mwaka 2015 nilikuwa na dili la miba ya karunguyeye nilipewa na mtailand mmoja nikafatilia vibali issue ikaja kuwapata hao nguyeye acha kabisa mkuu!
Huku sema ww me kuna sehemu wapo wengi sanaMwaka 2015 nilikuwa na dili la miba ya karunguyeye nilipewa na mtailand mmoja nikafatilia vibali issue ikaja kuwapata hao nguyeye acha kabisa mkuu!
Dah mkuu, nimeishi Kilimanjaro kila mda nilikuwa napishana nao njiani. Wapo wengi sanaMwaka 2015 nilikuwa na dili la miba ya karunguyeye nilipewa na mtailand mmoja nikafatilia vibali issue ikaja kuwapata hao nguyeye acha kabisa mkuu!
Nachoipendea serikali hua haisemi kua hiki ni sahihi hiki sio sahihi hadi wakudake ndo kuanzia siku iyo unajua kua kumbe hili ni kosa,..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]