Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

Hizo ni nyara za serikali ukicheza vibaya 2025 utakuwa bado nyuma ya vyuma
 
Fatilia urefu wa hao vifutu kwanza ujue kama wanarange kwenye futi 4 kuendelea na unene wao unacheza 55" to 66"
Hujui usemalo, hakuna kifutu atafikia 55"=137.5cm unene hii ni sawa na futi 4.5 unene
 
Sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Nakuelewa sana unachomaanisha, ni kweli ni jambo gumu.
Ukiijua nguvu ya adui utajipanga zaidi kukabiliana naye.
Hatari ya koboko ni sumu kwenye meno yako, ukidhiti sehemu za kung'atwa au kugongwa hana nguvu nyingine.
Nyoka hatari ambaye akikuwahi ni chatu...anakufunga na kujikaza unakwisha
 
Yeye anataka ngozi tu mkuu
Na ndipo mtego wenyewe ulipo,ngozi ya nyoka ni nyara ukidakwa unakula miaka kadhaa,ukidakwa na nyoka wazima pia ni hivyo hivyo,bora maiti za nyoka unaweza kusingizia umewaua shambani,hata hizo nazo afuate yeye sio kusafirisha.
 
Yaan pesa ngumu sana ukute ni jangiri huyo anaezinunua anazipitishia wapi?
Ndugu bora kuuza mikate sio kwenda porin kutafuta koboko
 
Yaan pesa ngumu sana ukute ni jangiri huyo anaezinunua anazipitishia wapi?
Ndugu bora kuuza mikate sio kwenda porin kutafuta koboko
[emoji3][emoji3],ndio hapo sasa,bora umeshtuka,maana usipong'atwa na nyoka basi jiandae kuozea jela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…