Ulikuwa unaona nini maana CCM waongo sana nyie?Kuna kipindi nilikuwa naona wachawi eeh bana siku hyo kariakoo si nikawa naona vitu vya ajabu nikishtuka vinapotea, aisee kumbe kariakoo ule wingi wa watu Kuna viumbe vya ajabu sana kule.
We donlucchese kweli we si mtu, umenilazimisha kumuomba Mshana Jr msamaha baada ya kugundua kuwa nimemuona yeye na wenzake sokoni Tandale jana usiku wakiwa njiani kuelekea Mwanga (Kilimanjaro). Alikuja Mshana na wenzake wakanipiga vibao na kuniambia niache upuuzi wa kuwafuatilia. Sina hamu na kisamvu kwa kweli.Duniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza
Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We donlucchese kweli we si mtu, umenilazimisha kumuomba Mshana Jr msamaha baada ya kugundua kuwa nimemuona yeye na wenzake sokoni Tandale jana usiku wakiwa njiani kuelekea Mwanga (Kilimanjaro). Alikuja Mshana na wenzake wakanipiga vibao na kuniambia niache upuuzi wa kuwafuatilia. Sina hamu na kisamvu kwa kweli.
Mkuu umewaona mpaka malaika ?!!!Yaani kutumia mbinu ya kuzimu kuwaona watumishi wake? Nehi
Mimi nimeona mpaka majini, mapepo na Malaika lakini sijawahi kunuizia kuwaona...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji2815]We donlucchese kweli we si mtu, umenilazimisha kumuomba Mshana Jr msamaha baada ya kugundua kuwa nimemuona yeye na wenzake sokoni Tandale jana usiku wakiwa njiani kuelekea Mwanga (Kilimanjaro). Alikuja Mshana na wenzake wakanipiga vibao na kuniambia niache upuuzi wa kuwafuatilia. Sina hamu na kisamvu kwa kweli.
All the best mkuu. Usisahau kuvaa helmetNgoja nijaribu nitaleta mrejesho wakuu, mkiona kimya ujue wameniteka
Haki ya Mungu nikipona haya majeraha yako nitakushitaki kwa Mze Mpili.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji2815]
Sent using Jamii Forums mobile app
Je hii dawa inaweza kutumika kwa popo bawa pia?Niko PembaDuniani kuna miti mingi sana yenye nguvu za asili za miujiza
Katika miti hiyo mmoja wapo ni mti wa kisamvu
Kisamvu ni mboga, mizizi yake ni chakula na hata shina lake huweza kutumika kama kuni
Lakini siri kubwa iliyopo katika mti huu ni kuwa, majani yake yana uwezo mkubwa wa kukufanya uwaone wachawi live wakiwa kwenye kazi zao.
Kama na wewe ni mtu anayetamani sana kuwaona viumbe hawa basi fuata taratibu zifuatazo.
Sharti
1. Usiwe muoga
2. Utakapowaona usikimbie wala kuonesha mshtuko bali tulia mpaka watakapotoweka
Tahadhari
Ni vyema uwe na kinga dhidi ya nguvu zao hasi, ili pindi utakapovunja sharti lolote hapo juu usiweze kupata madhara yoyote
MAANDALIZI
~Ponda kisamvu mpaka kiive vizuri
~Kamua ili upate maji yake
~Chukua maji hayo nawa usoni huku unanuia
Ukimaliza hapo nenda sehemu ya soko ama panapokuwa na mkusanyiko mkubwa wa watu ama kasimame njia panda, pia hata ukiwa ndani umelala kama watakuja utawaona
Zingatia masharti.
Leteni mrejesho mtakao waona [emoji2][emoji2][emoji2][emoji28]
Unapokutana na kiumbe chochote kisicho cha kawaida hata shetani, wewe uliza WHO ARE YOU?Mkuu umewaona mpaka malaika ?!!!
Ulijuaje kuwa ni malaika ?!!
Uliongea nao?
HahahaJina lako ni Msanii kama Una-tusanii je ?.
Bado wananzengo wataamini ndumba kuliko Mungu.Wote tunaishi kwa Neema ya Mungu. Hauko peke yako.
Yap ,uchungu wa kuzaa,[emoji24] mkuu pole ...uchungu wa kuzaa au