Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

Bosheni tu
 
Halafu ukiangalia media za ulaya zinavyoipambisha hii stori utadhani Iran kunawaka moto
 
unachukia misimamo alafu na ww unachambua kwa kuegemea kimisimamo tena ajabu hii
 
Aisee we jamaa ni muongo sanaa, iran imepigwa kama Ngoma unaleta porojo zako hapa
 
Akianza utasikia ,anaua WANAWAKE na WATOTO, Mi kwa sasa sisemi nawaunga mkona Takbirrrrrrr
 
Tatu, Israel wamepiga nchi tatu kwa wakati mmoja kwa mkupuo. Katika siku moja wameshambulia Syria, Iraq na Iran kuwaonyesha wa-Iran kwamba wako tayari kwa lolote.
Sasa tutegemee majibu kutoka kwa Iran.
Huku gaza ikiwa imekandamizwa na mguu mmoja, wapambe wengine wamezuiwa na kitako cha silaha
 
We ni mpumbavu watu wanapigwa vizuri tu saa hii huko
Huo uwezo hawana mtafuta maandiko kweny biblia sasa hivi wakijaribu ,maana watapigwa wapotee wote.


Israel hawezi kumpiga Iran hata kusogelea huo uwezo hana ,hili taifa la Mungu la mchongo πŸ˜… πŸ₯³ and
 
Yaani uzi mrefu namna hiyo kuongelea drone 3 zilizobeba mafataki? Alichofanya Israel si hata washabiki wa USMA walifanya kwenye final vs Yanga?
 
Nilichoona hapo Zote zinapimana nguvu za kijeshi!
Kila moja imeonyesha kwamba inao uwezo wa kuishambulia nyingine!
 
Udhalikishaji mwingine ambao Iran hawezi kutuambia nivile jamaa walizima mifumo yao ya kiulinzi kiasi Waka anza tumia manual way kumdungua adui. Israel ni ma genius
 
Udhalikishaji mwingine ambao Iran hawezi kutuambia nivile jamaa walizima mifumo yao ya kiulinzi kiasi Waka anza tumia manual way kumdungua adui. Israel ni ma genius
Porojo kama porojo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…