Namna ya shambulizi la Israel huko Isfahan-Iran inathibitisha Israel wamedhamiria na wanawaalika Iran kwa vita kamili.

 
Yasipofika usipopataka dunia mpya haiwezi kuzaliwa
 
Utabiri wa Ezekiel sura ya 38 unatimia. Gog Yaani Urusi watajiunga na Magogu Yaani Iran kuivamia Israel, hapo ndio utukufu wa Bwana Mungu kwa watu wake Israel utakapoonekana . Hizi ni dalili tu unabii utatimia Iran na washirina wake hawataweza.
Waafrika tutaendelea kugombana na viongozi wetu kila siku kuwa hawatuletei maendeleo. Kumbe maendeleo yanashindwa kupatikana kutokana na upumbavu wa watu weusi kama wewe ambao wanaamini kuwa Mungu ana watu wake special (waisrael tu), sio mimi na wewe.

Kwanini unaamini kuwa Mungu watu wake ni waisrael tu?

Je kwanini Mungu ameamua kufanya ubaguzi wa kuchagua waisrael kuwa watu wake na sio mimi au wewe?

Je wewe mgogo au mmakonde Mungu alikuumba ili uje kuwa mtu wa nani?

Huu upumbavu sijui waisrael ni watu wa Mungu, sijui waisrael wamebarikiwa kila kitu, Wachina waliukataa, wakaamini kuwa Mungu ni wa wote, habagui kabila, rangi wala nchi.

Ndomaana leo hii wachina wamepiga hatua kubwa kiuchumi, kijeshi, kijamii, kiteknolojia na kielimu, baada ya kujiweka mbali na propaganda za taifa gani ni la Mungu.

Miaka ya 70 Afrika tulikuwa sawa kiuchumi na China, baada ya sisi kukumbatia habari za waisrael ni watu wa Mungu pekee na kuanza kujaza misikiti na makanisa mitaani. Wenzetu wachina wakawekeza katika viwanda, shule, teknolojia, biashara nk.

Sasa leo hii inasemekana kuwa China ni nchi ya pili kwa uchumi duniani, japo data zingine zinasema inawezekana ikawa ya kwanza sema tu Mmarekani na media zake wanaamua kupika propaganda ili ionekane kuwa US bado super power wa uchumi na jeshi.
 

Attachments

  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    107.9 KB · Views: 5
Tatizo kubwa la Iran ni kushindwa kujua mpaka sasa shambulizi lilitokea wapi!


MK254 njoo malizana na watu wako.
 
lakini inasemekana wamepiga rada ya S300 iliyokuwa inalinda vinu vya nuclear.
Propaganda za wazungu tu hizo na media zao, ili kuficha aibu ya kipigo chao walichopigwa wa waajemi. Ndo hawa hawa waliowahi kutuaminisha kuwa waafrika wa zamani walikuwa ni manyani, kabla ya kubadilika na kuwa binadam kamili.

So kama unahitaji kudanganywa waamini, lakini kama hauhitaji kudanganywa wapuuze.
 
No.
Tokea jana naona kuna habari picha za satellite kwenye mitandao ikionyesha uharibu uliofanywa na shambulio la Israel.

Taarifa za madhara ya shambulio la Iran kwa Israel ni kujeruhiwa mtoto kujeruhiwa na mabaki ya kombora lililotunguliwa.

sina taarifa zaidi.
 

Shambulizi ukilizungumzia ni hili?



SI tulishakubaliana ngoma ya watoto haikeshi?
 
Mkuu mbona unakuwa kama vile mtu usiejua lolote katika dunia ya leo?

Hiyo picha kama ni ya shambulio la Russia huko Ukraine, alaf wakaamua kuifanya kuwa ni ya shambulio la Israel huko Iran wewe utajuaje?

Hivi kweli na umri huo unataka kuniambia kuwa haujui, au kuwahi kusikia na kufuatilia propaganda za media za magharibi kweli!

Yani Israel ifanye shambulio la aina hiyo Iran, alaf tuambulie kuoneshwa picha tu badala ya video ya shambulio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Shambulizi la Iran lilikuwa babkubwa mpaka dunia nzima ililaani. Pamoja na nchi za magharibi wakiongozwa na Marekani kujifanya kuwa wana vifaa bora vya kuzuia mahambulizi lakini bado walishindwa kuzuia makombora yaliosafiri takriban kilometres zaidi ya elf mbili. Kumbuka shambulio la Iran ndio shambulio pekee lililozuiliwa na nchi 8 zinazojulikana kuwa ni nchi zenye vifaa bora vya kuzuia shambulizi, na bado zote zilichemsha kuzuia kudadekiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Sasa kashambulio ka Israel kalikuwa kakipuuzi sana, jumlisha kalidhibitiwa na Iran peke yake bila msaada wa Saudia wala Jordan. Ndomaana nchi za magharibi zikachukia na kuanza kukusanya kusanya picha kutoka sehem wanazozijua wenyewe na kudai eti ni za Iran πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Lengo la Iran ilikuwa kuwaonesha wazungu kuwa hakuna nchi itakayoweza kuzuia mashambulizi yake kama itaamua kuichapa Israel. Na ndomaana aliwapa taarifa mapema kabla ya shambulizi ili wajipange kuzuia na yeye muiran aone udhaifu wa vifaa vyao vya kuzuia mashambulizi.

Ila kashambulio ka Israel kalikuwa ka kushtukiza bila taarifa, wakiamini kuwa huenda watakuta mitambo ya Iran ya kuzuia makombora itakuwa imezimwa, kumbe walijidanganya aisee

Wazungu washaona kila mtu ni mpumbavu, kwamba lolote watalolitengeneza watu wajinga watalikubali hata kama linaonesha uongo wa wazi. Tel aviv ilikoswa koswa kidogo tu kuunguzwa. Naamini siku ile Netanyahu hakulala ndani kwake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • 5694720-74202fee70ac282f58720672dc9d5d76.mp4
    7.6 MB
hilo shambulio la iran sijaona picha zake za uharibifu zilizofanya huko Yerusalemu. tupia picha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…