Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
NAMNA YANGA INAONGELEWA HUKO SUDAN🔥🔥🔥
Wafahamu kiufupi YOUNG AFRICANS @yangasc wapinzani wa AI Hilal Round ya kwanza CAFCL
Hawa ndio wafalme wa soka la Tanzania, ndiyo Klabu iliyobeba mataji mengi zaidi nchini humo (28) wakifatiwa na wapinzani wao ambao ni watani wao wa Jadi klabu ya Simba.
Wana Kikosi kinachokadiriwa kuwa na thamani ya Dora za Marekani $ Million 1.25 Ambayo ni zaidi ya Tsh Bilion 2.5.
Baada ya Misimu kadhaa kutofanya vizuri kimataifa, Waliamua kubadili mfumo wa uendeshaji wa Klabu kutoka kwa wanachama na kuwa kampuni inayojiendesha na sasa wana Raisi Ambaye alikua Mkurugenzi Mtendaji wa wafadhili wa klabu hiyo GSM Anaeitwa Hersi Said.
Raisi Hersi amepania kufanya makubwa Afrika kwa kusajili wachezaji wenye profile kubwa barani Afrika na nje ya Afrika, Wachezaji kama Stephane Aziz ki 🇧🇫 Ambeye alikua mchezaji bora wa ligi kuu nchini Ivory Coast, Gael Bigirimana 🇧🇮 Ambaye amewahi kukipiga ligi pendwa duniani EPL 🙌🏽
Wana Yannic Bangala 🇨🇩 Huyu ndiye MVP wa ligi yao pale Tz, anauwezo wa kucheza namba zote, muweke beki au Kiungo hakuangushi, pia wana Feisal Salum 🇹🇿 huyu ni Kiungo anasifika kwa kupiga mashuti ya mbali ambapo mara kadhaa amewaadhibu watani wao Simba sc, lakini pia wana Tuisila Kisinda ambaye anaspidi isiyoelezeka, anaweza kukimbia kutoka goli moja mpaka lingine kwa sekunde tano tu.
Mchezaji wa kuchungwa zaidi ni huyo kwenye Picha, Anaitwa Fiston Mayele 🇨🇩 ambaye mpaka sasa katika mechi 7 amefunga magoli 11 🙌🏽 ndiye mchezaji maarufu na pendwa Tanzania nzima sio kwa wazee, watoto na watu wazima, anasifika zaidi na style yake ya ushangiliaji ambayo ni maarufu sana Nchini 🇹🇿 (KUTETEMA).
Ndiye mchezaji anaependwa mpaka na wapinzani wao Klabu ya Simba, kutokana na uwezo wake, anauwezo wa kuganda hewani akausubili mpira kwa sekunde kadhaa na akafunga goli, katika round ya kwanza Amewafunga hatrick mbili mfululizo majilani zetu Zalan FC hatrick yake ya pili alifunga ndani ya dakika 3 🙌🏽 Mtamuona wenyewe siku akija hapa Sudan, Mwamba hazuiliki.
Kiufupi ni kwamba wasudani wote tushikamane kwa dua na sala na tuwe tayari kwa lolote, tunaweza pita kwenda makundi au playoff ya shirikisho.
Kwa msaada wa Google Translate.