Namna Yanga inaongelewa huko Sudan kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mechi yao na Al hilal (by google translate)

Hawa yanga Kwa mdomo huu watakacho kutana nacho huko sudani hawata amani macho yao
Mpira ni mchezo wa hadharani, tumewaona Al hilal mechi zao zote mbili na Saint George hawana maajabu yoyote.

Tumewaona wamecheza na vibonde wetu Simba kwenye bonanza, Tena vibonde wetu Simba wakiwa hawapo full squad yao na bado All hilal ilitolewa kamasi na vibonde wetu Simba.

Kwa Yanga hii Al hilal anapigwa nje ndani na hapati hata sare moja.
 
Nakuona unavyo taka ku Rap huku unatafuna karanga

Al Hilal hawawezi kupoteza muda wao kuongelea timu ambayo mara ya mwisho record yake yenye unafuu ni miaka ya 1998 BC

Huyo Mayele ni threat kwa Zalan, kwa Al Hilal huyo mbona ni zuchu tu.
Makolo utawajua tu, lazima wachomoze ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nakuona unavyo taka ku Rap huku unatafuna karanga

Al Hilal hawawezi kupoteza muda wao kuongelea timu ambayo mara ya mwisho record yake yenye unafuu ni miaka ya 1998 BC

Huyo Mayele ni threat kwa Zalan, kwa Al Hilal huyo mbona ni zuchu tu.
Pia ni threat kwa simba.

Mbona simba hujaitaja[emoji12]
 
Yanga tumedhamilia kuwafunga watu midomo mwaka huu.

Wakati sisi tunasajili timu ya ushindani wako walikuwa bize kuzurura, Sasa pumba na Mchele mtaviona kwenye mashindano haya ya Champions league.
Ama kweli tuwe tunatunza akiba ya maneno
 
Mleta mada ni mpumbavu wa mwisho
 
Yanga tumedhamilia kuwafunga watu midomo mwaka huu.

Wakati sisi tunasajili timu ya ushindani wako walikuwa bize kuzurura, Sasa pumba na Mchele mtaviona kwenye mashindano haya ya Champions league.
Okay muda umeshasema....pumba ni ipi na mchele ni upi?
 
Tumewaona wamecheza na vibonde wetu Simba kwenye bonanza, Tena vibonde wetu Simba wakiwa hawapo full squad yao na bado All hilal ilitolewa kamasi na vibonde wetu Simba.

Kwa Yanga hii Al hilal anapigwa nje ndani na hapati hata sare moja.
Dah yani Al hilal ilitolewa Kamasi na simba B??
 
Mkuu huko Sudan wanasemaje kuhusu Bangala kufanya makosa yaliyosababisha goli?
Wanasemaje kuhusu feitoto kutopiga hata shuti moja walau lililoenda nje?
Wanasemaje kuhusu azizi ki kuishia kufungua mdomo kuliko kucheza mpira?
Vipi kuhusu biringanya, wanasema hakucheza sababu ya uzee?
Hawajasema chochote kuhusu ile pumzi ya moto aliyoshusha Hersi pale uwanjani?
 
Ila matola anakuaga na mbwembwe [emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mbona unanisuta? Sina bando . Kila la heri mbona mm najua mtatoboa tuu? Mi ungenisaidia kuweka hapa ili tutranslate wote
Huyo naye ni miongoni mwa wale HAMNAZO, ukiwatoa WALE WAWILI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ