Nampataje huyu dada wa JF nipate kumuoa?

Kaka umependa avatar yake au mm sielewi namna mambo yanaenda,maana hapa ndani hakuna jina halisi wala picha halisi.
Comments zake mkuu, anaonekana yupo vizuri kichwani.Mambo ya sura ni mpaka akikubali kuonana.
 
Kwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
Kama Unamjua Mtaje 🥴
 
Comments zake mkuu, anaonekana yupo vizuri kichwani.Mambo ya sura ni mpaka akikubali kuonana.
Kila la kheri kaka,ila punguza kiasi cha nguvu unachotumia kwasasa kikufae badae maana unaweza kujilaumu uko mbeleni na ukaja na uzi mrefu wenye lawama nyingi 😆😆😆
 
Ataolewa hivyo hivyo for temporary. Ksbb mshikaji anatafuta mwanamke wa kuoa. Kajipendekeza dume. Basi halali yake. Linatafutiwa wasukuma wawili walionyeshe liache kijirengesha
😂 kwahyo wasukuma ndio wa kufanya ufirauni
 
Kwa nini Wasukuma mkuu na siyo Wandali au Wakurya? 😳😳😳
Unacheza na wasukuma wewe. Mzee ya mitishamba ile mkuu. Wanayo mpaka ya kutanukia ndani.
Kuna dada poa mmoja yeye kuzibadiri hata 7 kwa zamu ni kawaida. Siku ya siku akakutana na ya msukuma. Ilikuwa mida ya saa 4,4 asubuhi wakazama na yule msukuma. Kilikuja kuwashtua watu wengine ni kilio cha yule dada. Hapo saa 7 bado anasukuma apate bao moja.
Watu wakaenda kugonga mlango wa kile chumba cha lodge,msukuma hana habari anaendelea kusukuma tu. Wakatishia kuvunja mlango,maana kilio cha yule dada kikawa kama kinaelekea kukata hivi,amechoka.
Msukuma akafungua mlango kidogo. Akaulizwa vipi hapo? Msukuma si dada inalia. Tumekubaliana mbili,hii iko moja bado moja,amechukua kila moja 50lufu lufu. Yule dada akajikongoja akasema sitaki tena. Msukuma akasema bado ingine moja ama arudishe hela zote. Yule dada alitema laki yote na kuhama kijiwe
 
Pole sana…… jitahidi kuchanga karata vizuri au watafute wakulungwa wazee wa kijiwe wakupe ABCs za kuopoa machangu fish
 
Unakuta ni mmatumbu tu, tumepauka na wafupi kama mitungi ya gesi kama mzee wa kausha damu anavyokiri😁
Kabisaaa,umepauka zako,ushashiba zako mihogo ya babu sele,unaweka pale picha ya Beyonce halafu napiga story za vanguard yangu Mtu kaichubua kwenye foleni nilivyokuwa naelekea dinner whitesands,..basi lazima Kuna boya atajaa anaanza kumpenda yule Beyonce 🤣🤣🤣🤣🤣kumbe orxy ya kati.
 
😁😁😁😁😁 na ndivyo mambo yalivyo mkuu
 
Unacheza na wasukuma wewe. Mzee ya mitishamba ile mkuu. Wanayo mpaka ya kutanukia ndani.
Kuna dada poa mmoja yeye kuzibadiri hata 7 kwa zamu ni kawaida. Siku ya siku akakutana na ya msukuma. Ilikuwa mida ya saa 4,4 asubuhi wakazama na yule msukuma. Kilikuja kuwashtua watu wengine ni kilio cha yule dada. Hapo saa 7 bado anasukuma apate bao moja.
Watu wakaenda kugonga mlango wa kile chumba cha lodge,msukuma hana habari anaendelea kusukuma tu. Wakatishia kuvunja mlango,maana kilio cha yule dada kikawa kama kinaelekea kukata hivi,amechoka.
Msukuma akafungua mlango kidogo. Akaulizwa vipi hapo? Msukuma si dada inalia. Tumekubaliana mbili,hii iko moja bado moja,amechukua kila moja 50lufu lufu. Yule dada akajikongoja akasema sitaki tena. Msukuma akasema bado ingine moja ama arudishe hela zote. Yule dada alitema laki yote na kuhama kijiwe
🤣🤣Umezidisha majani imekuwa chungu
 
Kwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
FaizaFoxy hebu uwe unajibu PM za huyu mtoto
 
Back
Top Bottom