Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rafiki nipo salama kabisaMambo Rafiki..pole na Mvua huko kwenu
Huyu binti anaonekana ni wife materialUnakuta ni mmatumbu tu, tumepauka na wafupi kama mitungi ya gesi kama mzee wa kausha damu anavyok
Comments zake mkuu, anaonekana yupo vizuri kichwani.Mambo ya sura ni mpaka akikubali kuonana.Kaka umependa avatar yake au mm sielewi namna mambo yanaenda,maana hapa ndani hakuna jina halisi wala picha halisi.
😁😁Vyote viwili avatar na miandiko nadhani
Kama Unamjua Mtaje 🥴Kwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
Kila la kheri kaka,ila punguza kiasi cha nguvu unachotumia kwasasa kikufae badae maana unaweza kujilaumu uko mbeleni na ukaja na uzi mrefu wenye lawama nyingi 😆😆😆Comments zake mkuu, anaonekana yupo vizuri kichwani.Mambo ya sura ni mpaka akikubali kuonana.
Ataolewa hivyo hivyo for temporary. Ksbb mshikaji anatafuta mwanamke wa kuoa. Kajipendekeza dume. Basi halali yake. Linatafutiwa wasukuma wawili walionyeshe liache kijirengesha😂 hii kali kwahiyo lazima aolewe
Kwa nini Wasukuma mkuu na siyo Wandali au Wakurya? 😳😳😳Ataolewa hivyo hivyo for temporary. Ksbb mshikaji anatafuta mwanamke wa kuoa. Kajipendekeza dume. Basi halali yake. Linatafutiwa wasukuma wawili walionyeshe liache kijirengesha
😂 kwahyo wasukuma ndio wa kufanya ufirauniAtaolewa hivyo hivyo for temporary. Ksbb mshikaji anatafuta mwanamke wa kuoa. Kajipendekeza dume. Basi halali yake. Linatafutiwa wasukuma wawili walionyeshe liache kijirengesha
Unacheza na wasukuma wewe. Mzee ya mitishamba ile mkuu. Wanayo mpaka ya kutanukia ndani.Kwa nini Wasukuma mkuu na siyo Wandali au Wakurya? 😳😳😳
Kabisaaa,umepauka zako,ushashiba zako mihogo ya babu sele,unaweka pale picha ya Beyonce halafu napiga story za vanguard yangu Mtu kaichubua kwenye foleni nilivyokuwa naelekea dinner whitesands,..basi lazima Kuna boya atajaa anaanza kumpenda yule Beyonce 🤣🤣🤣🤣🤣kumbe orxy ya kati.Unakuta ni mmatumbu tu, tumepauka na wafupi kama mitungi ya gesi kama mzee wa kausha damu anavyokiri😁
😁😁😁😁😁 na ndivyo mambo yalivyo mkuuKabisaaa,umepauka zako,ushashiba zako mihogo ya babu sele,unaweka pale picha ya Beyonce halafu napiga story za vanguard yangu Mtu kaichubua kwenye foleni nilivyokuwa naelekea dinner whitesands,..basi lazima Kuna boya atajaa anaanza kumpenda yule Beyonce 🤣🤣🤣🤣🤣kumbe orxy ya kati.
🤣🤣Umezidisha majani imekuwa chunguUnacheza na wasukuma wewe. Mzee ya mitishamba ile mkuu. Wanayo mpaka ya kutanukia ndani.
Kuna dada poa mmoja yeye kuzibadiri hata 7 kwa zamu ni kawaida. Siku ya siku akakutana na ya msukuma. Ilikuwa mida ya saa 4,4 asubuhi wakazama na yule msukuma. Kilikuja kuwashtua watu wengine ni kilio cha yule dada. Hapo saa 7 bado anasukuma apate bao moja.
Watu wakaenda kugonga mlango wa kile chumba cha lodge,msukuma hana habari anaendelea kusukuma tu. Wakatishia kuvunja mlango,maana kilio cha yule dada kikawa kama kinaelekea kukata hivi,amechoka.
Msukuma akafungua mlango kidogo. Akaulizwa vipi hapo? Msukuma si dada inalia. Tumekubaliana mbili,hii iko moja bado moja,amechukua kila moja 50lufu lufu. Yule dada akajikongoja akasema sitaki tena. Msukuma akasema bado ingine moja ama arudishe hela zote. Yule dada alitema laki yote na kuhama kijiwe
FaizaFoxy hebu uwe unajibu PM za huyu mtotoKwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
🤣🤣🤣🤣 ..! Joannah usijaribu ukajichanganya kwa hao njemba. Hasa nafikiri AWE AMEJIANDAA,AMEKUPANGILIA. Mtu alijichanganya,akatema mapato yote, nafikiri kulikuwa na sababu fulani kabla. Jamaa ni kama lilimpania🤣🤣Umezidisha majani imekuwa chungu