Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Hapo wifi nimepata 😂😂😂😂Wifi jambazi😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo wifi nimepata 😂😂😂😂Wifi jambazi😁😁😁
Famchezo na ng'ombe Mia, Kwanza undugu haufi....Kantri damu yangu Yule nitampanga.Wifi usiniambie umetamani ng’ombe?? 😂😂😂
Kantry dada hana kabisaaa..!! Anaweza kukuta kamuuzia mkewe kwa ng’ombe 2 zilizokondeana aiseee 🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 Ila wifi umetisha, kweli familia yenu inapenda pesa…Yani mihela itupite hivi hivi🤣🤣🤣
Kwanza atwambie hao ng'ombe wapo Meatu au Simiyu.....unaweza kutusaidia kutuconnect na watu wa logistics🤣🤣🤣
Nimependa wifi yako,anatufaa familia yetu ya kizaramo mjanjamjanjaHapo wifi nimepata 😂😂😂😂
Hahaha, ila wewe ndiyo udugu jamani, utakuwa ushaambiwa ana matatizo gani yanayomfanya asikae akatulia 🤣😂😂😂😂 We piga km paka mwizi usiogope
Ila mke mwenzio anachekesha sana sijui ana shida gani??
Fanya uwezavyo wifi naomba rudiana na miongozo hata kwa mwezi mmoja tyuu..!!!🤣
😂😂😂😂😂 Kwakweli wifi chama aseme ng’ombe zilipo tuanze mchakato wa kujua zitatufikia vipi huku town….!!Famchezo na ng'ombe Mia, Kwanza undugu haufi....Kantri damu yangu Yule nitampanga.
Wakifika Dar tukiuza bei ya kutupa ng'ombe 1 Laki tano tuna sh. ngapi?
Mjini akili bwana, ng'ombe tunachukua halafu akifika huko tunatengeneza fumanizi anaachika🤣🤣🤣Nimependa wifi yako,anatufaa familia yetu ya kizaramo mjanjamjanja
🤣🤣🤣🤣Udugu wake mwenyewe,nimeshangaa Leo kamgeuka ila huyu wifi yako nyieeee🙄🙄🙄Hahaha, ila wewe ndiyo udugu jamani, utakuwa ushaambiwa ana matatizo gani yanayomfanya asikae akatulia 🤣
Wifi hana mbambamba 😂😂😂😂Nimependa wifi yako,anatufaa familia yetu ya kizaramo mjanjamjanja
Nakupa moyo wangu bure 🤣🤣We kaue tu Nilishakwambia tangu siku nyingi mi Niko nyuma yako ukizidiwa natuma majeshi🤣
😂😂😂😂😂 Acha basi unafanya nacheka kwa sautiMjini akili bwana, ng'ombe tunachukua halafu akifika huko tunatengeneza fumanizi anaachika🤣🤣🤣
Na mahari haturudishi....tukirogwa basi🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Duh hii mbinu kiboko kabisaaaMjini akili bwana, ng'ombe tunachukua halafu akifika huko tunatengeneza fumanizi anaachika🤣🤣🤣
Na mahari haturudishi....tukirogwa basi🤣🤣🤣🤣
🥰Naupokea na nilishatangaza hadharani...nilinuniwa🤣🤣🤣🤣Nakupa moyo wangu bure 🤣🤣
Wifi kamshindwa udugu wake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Udugu wake mwenyewe,nimeshangaa Leo kamgeuka ila huyu wifi yako nyieeee🙄🙄🙄
😂😂😂😂 Mwenyewe sijui kwann udugu wangu hatulii!!! Labda ww mke mwenzie utakuwa unajua bana wifiHahaha, ila wewe ndiyo udugu jamani, utakuwa ushaambiwa ana matatizo gani yanayomfanya asikae akatulia 🤣
🤣🤣 nani alinuna? Tumuongezee maumivu anune vizuri?🥰Naupokea na nilishatangaza hadharani...nilinuniwa🤣🤣🤣🤣
Zigo la misumari lile wifi 😂😂😂😂Wifi kamshindwa udugu wake 🤣🤣
Itakuwa ngoma haibebeki
Ila mganga Mshana tumpe mgao wake mapema... Kinga zetu ziwe kubwaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Duh hii mbinu kiboko kabisaaa
Huyu wifi yangu kiboko ananiozesha mchana kweupe na ananitengenezea fumanizi la kuachika mwenyewe 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Duh hii mbinu kiboko kabisaaa