Nampataje huyu mtoto anaitwa Lamomy?

Nampataje huyu mtoto anaitwa Lamomy?

Status
Not open for further replies.
Am sorry mkuu, najua wewe ni mtu poa sana pia ni my friend so naomba sana sana usifanye hivi kwa lamomy. Huyu Lamomy ni mwanamke pekee yuko peace sana hapa jf. Najua umenielewa rafiki yangu hutoniangusha
Ni mwanamke huyo ana kichaa cha mahusiano anatapatapa hajui pa kushikilia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hajiamini….

BTW Sihitaji kesi ya kuua kwa kukusudia 🀣🀣

Joannah ndugu yako ananituma nikaue πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We piga km paka mwizi usiogope
Ila mke mwenzio anachekesha sana sijui ana shida gani??
Fanya uwezavyo wifi naomba rudiana na miongozo hata kwa mwezi mmoja tyuu..!!!🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We piga km paka mwizi usiogope
Ila mke mwenzio anachekesha sana sijui ana shida gani??
Fanya uwezavyo wifi naomba rudiana na miongozo hata kwa mwezi mmoja tyuu..!!!🀣
He Dogo yamekuwa hayo Tena?πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£Kulikoni?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom