Dah bia ni tamu mno ila kitu nakiogoapa ni kupata kitambi tuπππUnazoea hadi unapata kiu cha bia sometimes
Wewe hunywi kabisa?Aisee! Furahia mkuuπ₯
Unapiga tizi tu mkuuDah bia ni tamu mno ila kitu nakiogoapa ni kupata kitambi tuπππ
Ndio na sitokuja kuthubutuWewe hunywi kabisa?
Tizi huwa napiga sema nikila bia siku mbili tu, naona tumbo linaanza kuwa rojorojoπUnapiga tizi tu mkuu
Kwa nini hata mvinyo?Ndio na sitokuja kuthubutu
Bia mbili tatu mbona hazihitaji pesa mingi mkuu?
Siwezi labda divai tunayopewa kanisaniKwa nini hata mvinyo?
Kinga ya nini tena mkuu kwenye kuupongeza mwili πππAsije sema hatumwambia. Tahadhari ni Bora kuliko Kingaππ
Acha woga mkuuπNdio na sitokuja kuthubutu
Basi kunywa whiskey or spiritTizi huwa napiga sema nikila bia siku mbili tu, naona tumbo linaanza kuwa rojorojoπ
Ile divai inahamasisha ulevi tu , kuna rafiki yangu alikua akiipata jp inamwamshia kiu anashinda bar siku hiyoπππSiwezi labda divai tunayopewa kanisani
Nilijiambia hivyo tokea nakua sitogusa pombe wala kilevi chochote
Siwezi kutumia kabisaaaAcha woga mkuuπ
Jaribu sweet wineπ·
Nishawahi kutumia mara moja siku ya pasakaIle divai inahamasisha ulevi tu , kuna rafiki yangu alikua akiipata jp inamwamshia kiu anashinda bar siku hiyoπππ
Ohoo kumbe mlokoleNishawahi kutumia mara moja siku ya pasaka
Mimi dhehebu langu ni mlokole hatutumii mara kwa mara
πππ Badala ya kuupooza mwili ndo kwanza atapigwa spana achakae. Chezea toto za mjiniKinga ya nini tena mkuu kwenye kuupongeza mwili πππ
Dhehebu la mlokole ndio lipoje hilo?Nishawahi kutumia mara moja siku ya pasaka
Mimi dhehebu langu ni mlokole hatutumii mara kwa mara
Mlokole wa kisasaOhoo kumbe mlokole