Nampataje huyu mtoto anaitwa Lamomy?

Nampataje huyu mtoto anaitwa Lamomy?

Status
Not open for further replies.
Hata sikujua km kuna uzi unanihusu huku 😂😂😂
Niilkuwa kuna mizigo nanunua, ss hivi nashika simu naingia WhatsApp naambiwa kuna uzi wako uko JF 😂😂😂😂
Jirani huu mwaka kweli wa kufosi, ni lazima utaitwa bosiii. Huo mzigo kama ni vijora vishamkosa wifi yako maana yupo kama mshumaa wa pasaka kijora hawezi vaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom