Nampataje huyu mtoto anaitwa Lamomy?

Status
Not open for further replies.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nasema hivii mwaka huu ni

Ukisimama mtongozo
Ukichuchumaa mtongozo

Haponi mtu wala ngedereπŸ˜‚πŸ˜‚
Faiza foksi ajiandae soon najivika mabomuπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hata sikujua km kuna uzi unanihusu huku πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Niilkuwa kuna mizigo nanunua, ss hivi nashika simu naingia WhatsApp naambiwa kuna uzi wako uko JF πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jirani huu mwaka kweli wa kufosi, ni lazima utaitwa bosiii. Huo mzigo kama ni vijora vishamkosa wifi yako maana yupo kama mshumaa wa pasaka kijora hawezi vaa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…