RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Jirani Mashaallah, mzigo upo😅. Baada ya kumaliza kula lunch ile saa nane kamili, wale Jamaa wawil waliowaaga mmoja wao ndio Mimi, lkn mwambie yule workmates wako apunguze kula jirani.Wee bana acha kufananisha wadada wa watu huko 😂😂😂
Mimi niko bush huku nimetulia nachoma hindi