Another wasted sperm.
Be a Man bro.
🔭🤔💭👣Another wasted sperm.
Be a Man bro.
Najua huzungumzii ndoa. Nafahamu. Ila bado unapaswa kumhudumia mtoto huyo kama ni mwanaume Mkristo bila msaada wa mwanamke. Upendo kwenye Ukristo ndo sheria kuu na maana yake halisi ni kujitoa.
🤣🤓umeamkaje?
Yakikupata watibeli mmkumbushe kwa sauti maneno yake haya! 🤣 🤣 🤣 🔊Haki sawa kwenye Ukristo iko kabla ya ndoa. Ila baada ya ndoa hakuna haki sawa. Mwanaume atimize majukumu yake kama kiongozi kwa kuonyesha upendo kwa kumhudumia mwanamke wake na mwanamke aonyeshe upendo kwa mwanaume kupitia heshima na utii.
🤣nimecheka sana,kumbe nanyi mwasusiwa?Lazima hii kesi nikushinde alafu hizo pesa utaweka kwenye ile akaunti yangu ya benki
Ok. Kila mtu asimame na anachokiamini.Unaposema bila msaada Unazungumzia nini?
Huo ukristo wako haujui maana ya Mwanamke ni ipi?
Kwa uelewa wako, kipi kinafanya Mwanamke achangie 23 ya chromosome Kwa mtoto sawa na Mwanaume? Kwa nini mwanaume asichangie zaidi kwa uanaume wake?
Alafu mkiambiwa bado mpo karne ya 13 huko mnaona mnatukanwa
🤣nimecheka sana,kumbe nanyi mwasusiwa?
Ok. Kila mtu asimame na anachokiamini.
🤣🤣🤣 tofauti ni maumbile tuMwanamke na mwanaume ni walewale tuu. Tofauti ni Motherboard tuu.
Kwakweli Mkristo anaoperate tofauti na watu wote duniani. Namaanisha Mkristo halisi.Yakikupata watibeli mmkumbushe kwa sauti maneno yake haya! 🤣 🤣 🤣 🔊
Kama hiyo ndio akili na huo ndio unaoita uanaume..basi pasi na shaka wewe ni senge Moja tu linalohitaji pia kulelewa.Ukiwa below average kwenye upeo huwezi elewa Watibeli. Na kikawaida Watibeli hatuhitaji kueleweka na Watu wenye upeo mdogo. Kwani tutavunja Haki zao
Kama hiyo ndio akili na huo ndio unaoita uanaume..basi pasi na shaka wewe ni senge Moja tu linalohitaji pia kulelewa.
Acha kuabisha uanaume..pumbavu.
mambo Ya Mwanaume Mkristo Yanaingiaje Hapa Au Uko Na Holy Spirit TayariKwakuwa ni maoni yako, nayaheshimu.
Ila mwanaume Mkristo anayewaza majukumu ya 50/50 ni mpumbavu na ni mbaya kuliko asiyemuamini Kristo.
Mwanaume Mkristo lazima aitunze na kuilinda familia yake, asimtegemee mwanamke pesa yake kabisa ila amtegemee Mungu kama msaada wake mkuu pamoja na maarifa aliyokuwa nayo. Afanye kazi kwa bidii na kutegemea Mungu ataibariki kazi ya mikono yake.
Mwanaume Mkristo ni mwanajeshi anayemfuata Yesu, akishindwa kumpenda mwanamke wake, ameshindwa kuonyesha upendo wa Yesu kwa mwanamke huyo. Upendo wa Yesu ni utoaji na sio kupokea kila kitu zaidi ya utii kutoka kwa mwanamke. Mwanaume ni natural giver na kutokana na utoaji huo, mwanamke ataonyesha upendo wake kupitia utii.
Mkuu wewe una maanisha umagharibi, sio ukristo! 🤣 🤣 🤣Kwakweli Mkristo anaoperate tofauti na watu wote duniani. Namaanisha Mkristo halisi.
Mkristo halisi hufanya ambayo 99% ya walimwengu hawafanyi.
🤣🤣🤣 tofauti ni maumbile tu
Sio.Mungu wewe una maanisha umagharibi, sio ukristo! 🤣 🤣 🤣
Nimeweka ila au hukuoina? Nimespecify tu, ila sijageneralize kabisa. Kama yeye ni Mkristo, anafanya jambo si sahihi.mambo Ya Mwanaume Mkristo Yanaingiaje Hapa Au Uko Na Holy Spirit Tayari
🤣🤣🤣asubuhi njemaWewe angalia humu JF ndio utajua hakuna tofauti kubwa kivile.
Sio ajabu unaambiwa wanawake wako smart kuliko wanaume WENGI.
Angalia humu utajua tuu