Nampeleka Mahakamani Mwanamke niliyezaa naye kwa kushindwa kumhudumia mwanaye. Hoja nitakazopeleka Mahakamani ni hizi

Nampeleka Mahakamani Mwanamke niliyezaa naye kwa kushindwa kumhudumia mwanaye. Hoja nitakazopeleka Mahakamani ni hizi

Najua huzungumzii ndoa. Nafahamu. Ila bado unapaswa kumhudumia mtoto huyo kama ni mwanaume Mkristo bila msaada wa mwanamke. Upendo kwenye Ukristo ndo sheria kuu na maana yake halisi ni kujitoa.

Unaposema bila msaada Unazungumzia nini?
Huo ukristo wako haujui maana ya Mwanamke ni ipi?

Kwa uelewa wako, kipi kinafanya Mwanamke achangie 23 ya chromosome Kwa mtoto sawa na Mwanaume? Kwa nini mwanaume asichangie zaidi kwa uanaume wake?

Alafu mkiambiwa bado mpo karne ya 13 huko mnaona mnatukanwa
 
Haki sawa kwenye Ukristo iko kabla ya ndoa. Ila baada ya ndoa hakuna haki sawa. Mwanaume atimize majukumu yake kama kiongozi kwa kuonyesha upendo kwa kumhudumia mwanamke wake na mwanamke aonyeshe upendo kwa mwanaume kupitia heshima na utii.
Yakikupata watibeli mmkumbushe kwa sauti maneno yake haya! 🤣 🤣 🤣 🔊
 
Unaposema bila msaada Unazungumzia nini?
Huo ukristo wako haujui maana ya Mwanamke ni ipi?

Kwa uelewa wako, kipi kinafanya Mwanamke achangie 23 ya chromosome Kwa mtoto sawa na Mwanaume? Kwa nini mwanaume asichangie zaidi kwa uanaume wake?

Alafu mkiambiwa bado mpo karne ya 13 huko mnaona mnatukanwa
Ok. Kila mtu asimame na anachokiamini.
 
Yakikupata watibeli mmkumbushe kwa sauti maneno yake haya! 🤣 🤣 🤣 🔊
Kwakweli Mkristo anaoperate tofauti na watu wote duniani. Namaanisha Mkristo halisi.
Mkristo halisi hufanya ambayo 99% ya walimwengu hawafanyi.
 
Ukiwa below average kwenye upeo huwezi elewa Watibeli. Na kikawaida Watibeli hatuhitaji kueleweka na Watu wenye upeo mdogo. Kwani tutavunja Haki zao
Kama hiyo ndio akili na huo ndio unaoita uanaume..basi pasi na shaka wewe ni senge Moja tu linalohitaji pia kulelewa.

Acha kuabisha uanaume..pumbavu.
 
Kama hiyo ndio akili na huo ndio unaoita uanaume..basi pasi na shaka wewe ni senge Moja tu linalohitaji pia kulelewa.

Acha kuabisha uanaume..pumbavu.

Wewe kwako uanaume ni nini?
Kwa sababu kuwa na akili kwa kiwango cha kati ni sehemu ya uanaume ambacho wewe hauna.
Unashindwa kuelewa mambo madogo kama haya sijui hata kama unajua kuitunza hiyo familia kama unayo
 
Kwakuwa ni maoni yako, nayaheshimu.
Ila mwanaume Mkristo anayewaza majukumu ya 50/50 ni mpumbavu na ni mbaya kuliko asiyemuamini Kristo.

Mwanaume Mkristo lazima aitunze na kuilinda familia yake, asimtegemee mwanamke pesa yake kabisa ila amtegemee Mungu kama msaada wake mkuu pamoja na maarifa aliyokuwa nayo. Afanye kazi kwa bidii na kutegemea Mungu ataibariki kazi ya mikono yake.

Mwanaume Mkristo ni mwanajeshi anayemfuata Yesu, akishindwa kumpenda mwanamke wake, ameshindwa kuonyesha upendo wa Yesu kwa mwanamke huyo. Upendo wa Yesu ni utoaji na sio kupokea kila kitu zaidi ya utii kutoka kwa mwanamke. Mwanaume ni natural giver na kutokana na utoaji huo, mwanamke ataonyesha upendo wake kupitia utii.
mambo Ya Mwanaume Mkristo Yanaingiaje Hapa Au Uko Na Holy Spirit Tayari
 
Back
Top Bottom