Nampenda binti wa kitajiri ila ana kiburi, jeuri na dharau. Je, nimuoe?

Wewe pambana.Wanaume mnafeli wapii?yaani kwa tabia ulizosema hata kiaka 3 hutamaliza utakuwa umedead
 
Akili za vijana wa Diploma Cbe
 
atabaki bibi yake na babu upande wa mama, bado atasoma na kuishi kuzuri
Unafikra za kitoto sana, kumbuka kama mwanamke atakudharua sana kisa anajua hauna kitu bas kuna uwezekano mkubwa wa kwao na watoto wenu nao wakakudharua zaid yake.
Pili kumbuka connection ya ujombani huwa ni Mama sasa hayupo tegemea kwa asilimia kubwa msaada wao nao kupotea au wewe kuja kunywang'anywa hao watoto maana wameisha kujua kuwa ww ni dhaifu.

Tumia akili kufikiri, pesa ni muhimu na unayo tayari, bas usijiangaishe kutafta maisha mazur kwa wanao kwa njia isiyo sahih ukasahau malezi yao.
 
nimekuelewa mkuu, nawaza mbeleni uko kama nikiwa bahati mbaya sipo watoto wapate kuishi kuzuri pia
Kamwe usiishi kwa kumtegemea mwanamke mwenye pesa. Unaweza ukamuoa na ndoa ikavunjika hata kabla ya kupata hao watoto unaotegenea kufa umuachie.

Mother Confessor amezungumza vizuri hapo juu.
 
nimekuelewa mkuu, nawaza mbeleni uko kama nikiwa bahati mbaya sipo watoto wapate kuishi kuzuri pia
Mkuu mbona unawaza kufa kufa,vip akitangulia yye utaoa mwingine au utalea wanao kwa kutegemea utapata msaada upande wa pili

Niskilize
Pambana
Pambana sana
Pambana zaidi
Pambana na usikate tamaa

Pambana kwa ajili ya future ya watoto wako, sahau kuhusu kusapotiwa
 
duh aiseee
 
sawa mkuu
 
mkuu nilikuwa najaribu kuunganisha dot tu kama, nikasema nikioa uyu ingawaje sio wife material na mwenye tabia mbaya uenda asiwe ivyo kwa watoto na watoto wakapata support ya kutoka upande wa mke wangu uyu amabaye kwao kipato ni kikubwa mnooooooooooooooooo
 
Unaoa kwa ajili yetu au yako?

Maamuzi unayo.

Tuletee masuala ya kukushauri hasa mwenendo wa mahusiano lakini siyo kutuzingua kuwa eti tukushauri umuoe au la.

Pia kumbuka wewe ndo unamjua. Kama unataka saana ushauri wangu wa kibusara dondosha namba yake inbobo nimfanyie usaili nikupe tathmini
 
Ndoa haijaribiwi, its once and for all!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…