Nampenda lakini ana tabia za uswahili uliopitiliza. Nifanye nini kumbadilisha?

Hapa nimekupa kwa Uzoefu nilijaribu kwa miaka kadhaa kwa Watu tofauti nikashindwa, bora utafute mwingine.
Kweli mkuu hapa yenyewe, sasa hivi ananitumia text anaumwa, sijui hajala, yaan kila siku toka uhusiano wetu ni kuumwa na yeye, yeye na kuumwa. Hapa naamua kila mtu achukue time zake nitapata anayenisikiliza sio wa hivi. Kuumwa yake ni ya kujifanyisha nimegundua hilo.
 
Komaa nae utatoboa tu kama kunyanduana yupo vizuri basi mengine mvumilie mkuu mwaka maji
 
Ndio mkuu unajua abadilike angalau kidogo tu hata kwa asilimia 35% huko kwingine nitavumilia maana kila binadamu kazaliwa kwa namna alivyo na mapungufu yake kutokana na mazingira pia. Abadilike kwa 35% na 65% abaki nazo.
Badilika wewe mkuu,ni rahisi kuliko kumbadilisha mtu
 
Mungu hakupi vyote. Mpende alivyo. Si una enjoy sex? Basi na vingine vumilia. Usi hangaike kubadili ishi nae atabadilika taratibu.
 
Komaa nae utatoboa tu kama kunyanduana yupo vizuri basi mengine mvumilie mkuu mwaka maji
Kunyanduana ni asilimia 100%%% lakini tabia yake mkuu inanichosha, hata uvunguni ananipa. niseme tu wanawake siku hizi hawapo wanaume tupo wachache ila tunaojielewa tupo wengi tu.
 
Kaa nae kwa utulivu na yote usiyoyataka mweleze kwa heshima na adabu ajirekebishe
 
Wewe cha msingi komaa tu, maana umeona hio burudani ya kiuno anayo yeye pekeake hapa nchini.

Usilielie kijinga mkulu ameshasema hii sio awamu ya raha hata mkewe hampi raha. We mwananchi mnyonge raha uipate kwakipi special? Lipia huduma ya kiuno mpaka siku ya kufa kwako maana kupanga ni kuchagua.
 
Ha ha ha mkuu hakuna mwanamke hapo ww ni danga tu anaempenda anatafuna pesa zako kiulaini
 
🀣🀣🀣 ndio umeamua iwe hivi mzee baba.
 
Mapenzi bwana
Pengine wewe upo seriosly lkn mwenzio anakuona boya tu,hapo anasema hili boya litasanda mwenyewe
 
Umempenda mwajuma ndala ndefu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Itakula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…