Hapa mkuu umeandika kitu ukanishauri vema kabisa.Mmmmmmhmn ila ndugu me naona kama hamida hana tatizo. Isipokuwa wewe umeshindwa kumudu uwepo wake.
Angekuwa anakunyima mchezo ningesema ni mkorofi ila gemu anakupa tena kibabe na kiroho safi. Cha msingi wewe anza kumjengea msingi wa biashara na usimlaumu au kutumia nguvu kumfunza.
Fanya biashara kama ni yako halafu wewe unamfundisha yeye kukusaidia kuisimamia, then kinachopatikana unamgawia kidogo ili aone nguvu ya jasho lake.....
Kabila au asili haina uhusiano na jitihada na mabadiliko ya mtu kiamendeleo. Ukimtrain atazoea na atabadilika.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ufala utaacha lini lakini?😂😂😂Wewe cha msingi komaa tu, maana umeona hio burudani ya kiuno anayo yeye pekeake hapa nchini.
Usilielie kijinga mkulu ameshasema hii sio awamu ya raha hata mkewe hampi raha. We mwananchi mnyonge raha uipate kwakipi special? Lipia huduma ya kiuno mpaka siku ya kufa kwako maana kupanga ni kuchagua.
Siku nikihama MMU labda.Huu ufala utaacha lini lakini?😂😂😂
Siku nikihama MMU labda.
Itabidi tufanye hivyo amna namna😍Tutahama wote
Huyo sio slay queen,ana date na Miss BuzaHuna mwanamke hapo. Una slay queeen . Stop wasting time tafuta mwanamke anaejielewa
Akizaa hehehehe,akizaaa leo atanyonyesha mtoto wiki 1 na nusu tu wiki ya 3 hata mwezi haufiki utamsikia anaanza ratiba za kushona kijora cha kumtoa mtoto wa mama batuliNa kulogwa limbwata atakuloga huyo, kikubwa kama unampenda mchukulie alivyo maana kwenye maelezo yako sijaona ukataja madhara unayopata kutokana na tabia yake. Vumilia akizaa atabadilika.
Na wewe uwe mswahili ujsikkose mkeNdio nahisi hana mimba, maana nikujisikia vibaya tu nami nimerekodi tarehe kabisa ili akileta mjadala namark tu, kiufupi mimi kusingiziwa mtoto ni uongo na pia sikatai mtoto, wanawake wote sawa tu akili zao zile zile, wanatofauti ndogo, so ukiwa mwanaume kweli kuna wanawake hawaongei labda upate hawa wadada zangu wakichagga lakini hata hawa ivo ivo.