Nampenda lakini ananiweka kwenye u ‘friend zone’

Mwanamke akikupenda hakuzungushi wala hakuweki kwenye friend zote, hili suala sijui tuwaambie mara ngapi.

Natafuta ajira amewafundisha weee! Kweli mapenzi hayashauriwi 😂💔

Hii kanuni alinifundisha jamaa yangu wa kuitwa Pistorius, shombe wa kidachi. Alinambia kamwe usilazimishe mwanamke kukupenda, usipoteze muda. 😊
 
Unataka kumsaliti mama Abel 😳
 
Daah,mapenzi ufala.

Aisee nilikuwa nakuonaga mbaba🙌

Kumbe kwanza unawekeza nguvu Kwa vitoto vya 2000🙌

Mapenzi yafutwe.
Mkuu hapo bado hujakutana na nyuzi za nzalendo ndio utashika kichwa kabisa kwa hawa wazee.

😀😀

VAR

 
Hii kanuni alinifundisha jamaa yangu wa kuitwa Pistorius, shombe wa kidachi. Alinambia kamwe usilazimishe mwanamke kukupenda, usipoteze muda. 😊
Hii kanuni ni 💯 Wanaume wa kiafrica bado wana zile za kuhisi wanawake wana haya.

Mwaya hatuna haya na tunajua kujizalilisha mno kwa tunaowapenda, binafsi mimi simp 😂
 
Mimi mapenzi ndio yalishanishinda kabisa , unakuta nina my wangu kumtafuta mpaka niwe na upwiru tena , ni malalamiko na lawama kila mda acha nijikite na my wangu pombe tu

Ulifanya uamuzi sahihi mkuu. Unakua hujapendwa kwa ufupi, kila mwanamke ana yule jamaa ambae hamsumbui, anataka awepo around kwenye life yake. Jitahidi mwanaume huyo uwe wewe. Kinyume na hapo hakuna rangi utaacha kuona.
 
Wanaume waliooa ndio wanaongoza kutongoza ovyoovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…