Kuwekwa friend zone maana yake utakuwa unakula kwa machoMmefanana mpaka uandishi
hile,uciku,mmh sw,Pwr
Huyo mnaendana kabisa usimuache,inawezekana mkatofautiana kwenye umri tu ili mna fanana sana,
Hivi kuwekwa friend zone maana yake nini?
Noma mnona unajitahidi kutuma tu emoj twenye love love ila pisi imekaza mbaya mbovu
Nimemuuliza mleta mada kuwekwa friend zone ndio nini? hajanijibuView attachment 3671114
Ningemshari ila furaha yangu ni kuona wanaume wote wa aina yake wanateseka 😎!
Sawa myNdio my
Anko huyu miyeyushoMmefanana mpaka uandishi
hile,uciku,mmh sw,Pwr
Huyo mnaendana kabisa usimuache,inawezekana mkatofautiana kwenye umri tu ili mna fanana sana,
Hivi kuwekwa friend zone maana yake nini?
hichi kitoto kinaniyumbisha
Pamoja na wewe kujifanya unaandika uandishi wako kama yeye ila wapi!Anko huyu miyeyusho
Kuwekewa mipaka anakufanya rafiki na sio bonge la bwanaNimemuuliza mleta mada kuwekwa friend zone ndio nini? hajanijibu
Hebu nipe hii elimu na mimi basi.
Hawa wazee,inamaana waliruka stage😁Mkuu hapo bado hujakutana na nyuzi za nzalendo ndio utashika kichwa kabisa kwa hawa wazee.
😀😀
VAR
Ni baada ya kumuomba sana na kumbembeleza.
Yeye akasema amechoka hawezi kuamka.
Lakini sikukata tamaa...nikazidi kupanga maneno ili anielewe,
Bila kufanya hivyo nisingeweza kupata usingizi.
Hatimaye akasema siku nyingine nisirudie tena huo mchezo wa kumuamsha manake alikwisha lala na ni usiku mkubwa.
Basi akanifungulia geti nikaingiza kichwa cha VOLVO VNL 680...manake kukilaza nje ni hatari kilikuwa kipyaa...
- nzalendo
- kichwa kuingiza
- Replies: 31
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Tatizo mahaba anko wanguPamoja na wewe kujifanya unaandika uandishi wako kama yeye ila wapi!
Tajiri wa Kigamboni unafeli wapi?
Ni tamaa na kukosa kuridhika tuWanaume waliooa ndio wanaongoza kutongoza ovyoovyo
Hamia kwa mishangazi hua haisumbui.Kuwekewa mipaka anakufanya rafiki na sio bonge la bwana
Kabisa ngoja nipige chiniJikaze kiume mkuu, achana nacho. 😊
Ninalo moja lipo tegeta nyukiHamia kwa mishangazi hua haisumbui.
Hivi vitoto vitakutoa roho mkuu.
Hicho kitoto cha elfu 2 ukikiendekeza,basi muda si mrefu ID itawekwa RIPNinalo moja lipo tegeta nyuki
Ninalo moja lipo tegeta nyuki
Labda At**be kwa meseji coz mpaka sasa hajapewa.Neno ni moja tuu T O M B A