Mpendwa kiplagati26,
nafurahi sana kusikia msimamo wako kwangu mimi.
Najua watu wengi watakuchukulia tofauti kwa sababu tu eti ungeyamaliza Pm.
Pm ni kachumbali ndani ya jamvini ambalo ni pilau.
Nashukuru sana kwa kunipenda.
Tumwombe Mungu tufike Mbali.
Eheee nilikuwa nimesahau atatusaidia kwenye mabazazi wapale Emmyl's...nimependa hiyo inamaana upopo continuable!hahahahaaaaaa KakaKiiza bhanaaa.....!!!
huyu komandoo asituletee kiwingu...tutamwendea kwa dr matunge mwenyewe atamuachia Madame B tutaendeleza upopo. kama vipi tumfanye na yeye ajiunge nasi kwenye upopo!!! si unajua atatufaa katika adventure zetu kama mkoko kuingia mtaroni - komando atalinyanyua tu- so yafaa tumuwahishe huyu!!
naona umeanza shughuli ya ukungwi hoyeeeeeeeeeeeeeee!!hebu hilo neno usilitamke utafkiri gfsonwin nikiita memba wa jamvini bana litie chumvi na pilipili na ndimu litokeapo na ladha nzuri ya mahabat lolz!
Ita hata swt wangu kiplagati26 mweeeeeeeeeeeeh! Hata haya hadi nikufune ili hali unaskiaga nikimwita shemeji dear wangu??
Eheee nilikuwa nimesahau atatusaidia kwenye mabazazi wapale Emmyl's...nimependa hiyo inamaana upopo continuable!
Unatumia skype?Umeona eeenh!!! aluta continua!!!
Sawasawa.
Penda sana mimi mtu abadilikae kutokana na mazingira.
Tukiwa huku,tuko nae kihuku huku na tukiwa nawe jukwaa letu la kule chini,basi tuko nawe kikubwakubwa.
Ahaha!
asakuta same,umetisha.
Big Up.
Sawasawa.
Penda sana mimi mtu abadilikae kutokana na mazingira.
Tukiwa huku,tuko nae kihuku huku na tukiwa nawe jukwaa letu la kule chini,basi tuko nawe kikubwakubwa.
Ahaha!
asakuta same,umetisha.
Big Up.
Hivi leo tar ngapi?
hahahahha! Bishanga bana huoni wamesha kubaliana hapa ni bwabwa tu kumwagwa.
Copy kwa Ben Saanane
... Hapo sasa! Bora wewe umeliona!!
... Ben Saanane atakuwa amepanic bure tu... (mtaalam wetu umakini hapa umekuwa miongoni mwa ile 65%)
... huyo Mjeda juu kasema Madam B, kisha karudia Madamu B, na mara kadhaa Madam B
Na profesa wa politiko sayansi the right honourable Ben Saanane mnamweka chungu gani?
Huyu Madame B ndo yule anayeshinda jukwaa la wakubwa na anasemaga mwenyewe anapenda madude makubwa na yampitie kotekote au ni mwingine?
Ka ni yeye basi usipompa kotekote atatafuta kwingine.
Kopi: Ben Saanane.....kikulacho ki nguoni mwako....we si ulimwona gfsonwin mwema kwako? Kumbuka mlivyokuwa mnaitana shem wa ukweli....kiko wapi ben?kiplagati26, hongera sana kaka/shemeji. jana nilisema sitolala mpaka leo umetoka mazoezini ukaja na jibu hapa. kwa majibu haya mie kama dada mkubwa wa Madame B sina a nyongeza kwakweli.
kimsigi nimekupenda sana manake unaijua thamani ya mwanamke na unajua kutunza utu wa mwanamke. Nimekupenda sana kwasababu najua sasa mdogo wangu yuko katika penzi ambalo ni la kweli na yeye binafsi yuko tayari kulilinda milele. Nimesha mwambia mengi sana mimi kama dada yake ila niliposom post yako ya pili kwenye huu uzi nimejikuta nafsini nikijawa na furaha kwamba amepata mtu mkweli kama jinsi ambavyo anapenda ukweli.
najua maisha ya mahusiano yyte yale lazima kupanda milima ila nawaombea Mungu mpande pamoja na kushuka pamoja, pia Mungu kwenu awe kiongozi na furaha yenu, mkamfanye RMT kuwa mwamuzi wa kila mnalo panga ndani mwenu, uchumba wenu utanguliwe na busara za kimungu zaid zenye mafunzo na tabia zinazopendeza kwenye jamii na zitakazo jenga familia bora.
mie baadae ntakuja na bandiko la kushangilia kusimama kwa utawala wa mjeda aka COMMANDO na kuanguka kwa utawala wa CHAI CHUNGU.
Jf idumu milele kwa kuleta watu pamoja!!