CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Nahisi una masilahi makubwa sana hapa kwenye hii deal,kilichobaki ni kwenda kulishwa vyura na chatu china lol!hayo ndo maneno sasa hapa naaza rasmi kualika wapendwa kwenye mnusoooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
naskitika tu kwamba shoga yangu yupo msibani kafiwa na shosti wake Moro yaani leo na sare za kupelekea mahari tungetafuta alllaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
Si hatuna muda na yeye msimamo wetu ni wewe kutokwenda kwa huyo mjeda!
Utatu join?
Kukaa kimya mkuu inauma!Aisee unanikumbusha ugomvi wa uttotoni ukishindwa ngumi unang'ata meno,aste aste mkuu CHAI CHUNGU twende taratibu.... Madame B mbona ni kuku wako mwenyewe? Manati ya nini?
Nipe huo mkakati mkuu.Nikupe mkakati wa kurudisha penzi la Madame B kwako? Mbona ni kazi rahisi tu?
Kukaa kimya mkuu inauma!
Bora niwe narusha mawe gizani,ukisikia 'yalaaaaaaaaaah'ujue tayari limempata huyo .
Nipe huo mkakati mkuu.
Alafu unajua nilivyomkataza kuchangia humu ndani nilikua sahihi.
Sasa na huyo mchina asipokua makini na akajifanya yeye ni mwema atalia siku si nyingi.
::
Hongera Madame B
Umeonyesha ujasiri
Upendo huu wa hiari
Usafiri kwa tamathali
Uwafikishe mbali
Mshinde vingi vizuizi
Umtunze mpiganaji
Usitusahau Jf
::
Mpiganaji Kiplagati
Umejibiwa lako ombi
Uikumbuke tofauti
Ya jeshini na chumbani
Usimpigie bunduki
Bali kitenge marashi
Usitusahau Jf
::
Mpendwa gfsowin
Endeleza maandalizi
Uzipange zote kamati
Kwa ustadi na ufundi
Love connect imetii
Imeunganisha wawili
Katika hizi kamati
Usitusahau Jf
::
Wenye wivu mioyoni
Acheni kupiga ramli
Mtaumbuka hadharani
Mtaadimika jukwaani
Iliandikwa mbinguni
Duniani tuache ujuzi
Usitusahau Jf
::
Baraka nawaombeeni
Watoto mpakateni
Kupenda kama mauti
Asiwepo kuwatengeni
Mfike kilele uzeeni
Maendeleo yapateni
Mola awafute chozi
Tetra nawaageni.
=
Mkuu we acha,huyu demu kanichanganya kichwa yangu ata sijui hapa nilipo ni nchi gani aise!tehe!tehe!tehe!tehe! Kaka tarehe ya nini tena! Umenifurahisha sana ila una nyota hapa jf thread zako unazoweka kituo lazima member and Guest watiririke!
Hahahahaaaa unataka nisije?Subiri siku ya wewe kutoa mahari ,uhayani kuna kitu inaitwa 'okukurura' sasa kwenye mkeka ndo utajua nani atakuwa amekaa pembeni.
Kha!
Leo Tupo Hapa, bai bai.
Kebby's Hotel, bai bai.
Twiga Bar, bai bai.
CC: Paloma, KakaKiiza, Kipaji Halisi, amu, Zion Daughter, Vin Diesel, Mtambuzi, Ruttashobolwa, Bujibuji, Mjeda.
Madame B nafasi hiyo, jitahidi kum PM huyo anayejiita comando mtarajiwa. Wakati unawasiliana naye jitahidi kujua; kwa nini hakutumia PM kuwasiliana na wewe?, Kwa kadiri ya uwelewa wangu wa mambo ya kijeshi na sababu za kiusalama, haitakiwi kuji expose kama alivyofanya huyo jamaa,nini kimempelekea kujiexpose hivyo? (kama ni kweli). Hayo mambo angeyasema wakati mnawasiliana, ila sio kwa mafunzo ya ukomandoo.
Nipe huo mkakati mkuu.
Alafu unajua nilivyomkataza kuchangia humu ndani nilikua sahihi.
Sasa na huyo mchina asipokua makini na akajifanya yeye ni mwema atalia siku si nyingi.
Nshaanza kukusafishia njia,we tulia mkuu.