Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

Ha ha ha Shark jiengue mwenyewe......
 
Last edited by a moderator:
mi siku hz nmekuwa mpole
baba
 
Wivu tuna lolote chezea Madame B!!!!
endeleeni tu kumfata fata mje mchezee mabuti
Tena nawaonea wewe, Ben Saanane na wengineo, ngojeni mjeda arudi mcheki karate zake........
 
Last edited by a moderator:
afrodenzi mwenzio mmu nilihama longtime,wako too siriaz huko utadhani jukwaa la siasa halafu na walokole kibao full mapambio.
Mi na chichat...chitchat na bishanga full kuumiza mbavu.
Michelle anaendeleaje na yule mkaka mwimbisha mashairi?

Ha haaaa..Sasa subiri mimi na wewe mpka kieleweke..Nitakufuatilia huko chitchat mpka...Unamfahamu Chidumule??
 
Last edited by a moderator:
Wivu tuna lolote chezea Madame B!!!!
endeleeni tu kumfata fata mje mchezee mabuti
Tena nawaonea wewe, Ben Saanane na wengineo, ngojeni mjeda arudi mcheki karate zake........

Evelyn Salt aka angelina Jollie ..kama una chembe ya kujali kwa rafikiyo Madame B basi achana na wajeda. Ben Saanane ndie husband material kwa madame b..La sivyo unataka mataekwondo na makungfuu yamuishie shostito..
 
Last edited by a moderator:
Evelyn Salt aka angelina Jollie ..kama una chembe ya kujali kwa rafikiyo Madame B basi achana na wajeda. Ben Saanane ndie husband material kwa madame b..La sivyo unataka mataekwondo na makungfuu yamuishie shostito..

Mi najua shemeji yangu komando ana tru love kwa shoga angu!!!!!!!
huyu shemeji Ben Saanane anamhitaji tu ili wazunguke nae kwenye M4C....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mi najua shemeji yangu komando ana tru love kwa shoga angu!!!!!!!
huyu shemeji Ben Saanane anamhitaji tu ili wazunguke nae kwenye M4C....

Atazunguka nae kwa sababu wanapendana na tena WANAWAKE tunaweza ..hivyo na Madame B anaweza pia. Ben Saanane ana upendo wa dhati..nia anayo na uwezo pia anao..huyu ndio shemeji anatakiwa..sio huyu kiplagatu anabip bip halafu anatokomea kusikojulikana..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Dah shem wangu Zion Daughter kweli wewe umekamilika na unajua chaguo zuri.huyo mjeda wa kona Bar atarudi baada ya viroba kuisha na kudanganya yupo China.Kwani China muda huu si usiku?Si angeingia au hadi aombe mtu wa kumuwashia kompyuta
Madame B nikizunguka nae nitakua ninawakilisha waume bora wanaothamini wanawake.anaweza,ninampenda
 
Last edited by a moderator:
Kila la kheri mkuu,lakini..............
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…