Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Ahsante kwa kuliona hilo kaka Sting
Kifupi tu ni kua nishajivua gamba. Huyu mleta mada hapa ni Mjeda tena Comandoo, mimi ugomvi nae kwa ajili ya demu siwezi.
Demu mwenyewe mara Ben Saanane, mara Chimbuvu, mara Nicas Mtei, halafu kuna jamaa gani sijui wa Arusha.
Yaani kwa haraka haraka tu naowajua humu JF ni kama 10 hivi, achana na ambao siwajui.
Kila siku nkiwa nae natambulishwa kwa mashemeji wapya, eti kaka zake.
Nishamfumaga One day Guest House akadai kuna ndugu yake ni mhudumu pale, amepitia kumsalimia.
Kifupi huyu demu hajatulia.
CC Evelyn Salt
asakuta same
Ha ha ha Shark jiengue mwenyewe......
Last edited by a moderator: