Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu


Hahahahah........ hakika sijutii kuwa na makaka kama Nyie JF.
Viva JF......... Mwita Maranya Umeniona?

Kuna nini tena? CHAI CHUNGU hana lake.

Hhahahaahhhhhh.............. CHAI CHUNGU unampenda eeee, Kaka Nicas Mtei.

Dogo kiulaini utavuta mashine... ila gia kubwa mno umeanzia...Kunguni hauwawi kwa BOMU... KIDOLE TU SAAIZI YAKE...

hhahahaahahaaaaaaaaaaaa gakato,........... acha bhana, kupenda kazi sana.
 
Last edited by a moderator:
Hii tabia ya kupenda wake za watu kwa vitisho vya ukomando haitakubalika. Naapa hakianani mtu aniletee habari ya kumpenda wife wangu marejesho, hata kama ni komando wa ukweli, atanijua mimi ndio nani! Naamishia kifanyio chake usoni!
 
Last edited by a moderator:
kwa jina la MGSS nakukabidhi mikononi mwa nayejifeeel naye kikweli!af mengine tuachie
 
Naombea huyu jamaa komando awe serious, vinginevyo tutashuhudia majanga hapa.

Acha mambo yako bhana, tayari maandalizi ni 90% karibu sana ndugu yangu..............wanaJF wote tunawakaribisha!!
Tunaelewa sana umuhimu wenu.............pia mods karibuni sana, bila kuwasahau waasisi wote wa JF kwa heshima na taadhima naomba mkaribie, naombeni sana msikose jamani!!!!
gfsonwin naomba uwe mama mlezi wa MMU......................huku tukiendelea taratiiiiibu kumtafuta baba mlezi wa MMU, unafaa sana.......................eti unasema hv: mwanaume anahitaji kuheshimiwa zaidi kuliko kupendwa na mwanamke anahitaji kupendwa zaidi kuliko kuheshimiwa ila huwezi kuheshimu bila kupenda na huwezi kupenda bila kuheshimu...........what a philosophy??????!!!!!!!!!!!
Chukua pHD yangu nakupa bila hiyana japo sina chuo!!!!
Madame B fuata nyayo za gfsonwin you will win!!
 
Last edited by a moderator:
Madame B hapo tu ndipo hata mimi "napokupendeaga" hakuna kujivunga wakati kitu kiko very clear. Kwa jinsi ulivyompokea commando kiplagati26 kwakweli umedhihirisha kitu kimoja tu kwamba unajitambua na unatambua nafasi yako katika maisha ya viumbe wengine.

Hao wasukununu wanaompiga majungu commando achana nao kwakuwa ni kawaida yao waswahili kuwaonea kijicho wenzao. Mi nasubiri mwaliko tu wa kuja kufinya ubweche kwakuwa naona bila shaka yoyote kuwa deal limekamilika.:yo::yo::yo::yo:
 
Last edited by a moderator:
Madame B Usisahau maneno ya wahenga....."Mgagaa na upwa hali wali mkavu" tonge hilo limekudondokea, ushindwe weye ila msinitose japo sendoff.
 
Madame B,ZALI HILO,:kev:muwahi kijana ana shehena ya UKWASI,si unajua masoja kabla ya kwenda kozi vipimo vya vvu ni lazima, kijana yuko safi kiafya sina imani alichakachua huko CHINA.
 
Madame B Usisahau maneno ya wahenga....."Mgagaa na upwa hali wali mkavu" tonge hilo limekudondokea, ushindwe weye ila msinitose japo sendoff.

Asante, hakika sitakutosa Tamatheo...........kweli tena

Nitajitahidi nikutafute..lakn mhh!............ naogopa kuongelea hapa kwenye hii thread.

cc Madame B

Me nawaangalia tu hapa.


Asante sana kaka Mwita Maranya, kaka zangu wa ukweli humu Jf...... nisalimie Nicas Mtei na watu8

Nimependa hilo vumbi hapo nyuma, ndo raha ya kwata. Imenikumbusha mbali sana, enzi zetu JKT Itende, Mbeya! Madame B kazi anayo!

Umpendapo mtu, ina amaan umeshayakubali yake yooooooooooote, Nitavumilia tu, maadam nimeamua mwenyewe pasi na shurti..........Lazima nitaweza tu......
Mimi ni mwanamke niliyepitia kwa Wazee bhana........ Idimi ntakukaribisha kwenye mnuso.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…