Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,193
Ebwana eeeenh..Nimepiga SALUTE kwa Ben yaani kakoroma kidogo tu Madame B chaliiii.Mkuu watu8 kazi unayo.
Ha ha ha
Tunapendana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebwana eeeenh..Nimepiga SALUTE kwa Ben yaani kakoroma kidogo tu Madame B chaliiii.Mkuu watu8 kazi unayo.
Duuuh..Hapa ngoja nikae pembeni.Nisije nikaitiwa mkodobwe na Zinduna...Naona Madame B hajielewi elewi hapa.. lara 1 anahusika sana kwenye somo lake la equal distribution of resources.Mmwaah mmwaah mmwaah!CC: kiplagati26 Chimbuvu Nicas Mtei Erickb52 Baba V Arushaone watu8 Zion Daughter
Mmwaah mmwaah mmwaah!
CC: kiplagati26 Chimbuvu Nicas Mtei Erickb52 Baba V Arushaone watu8 Zion Daughter
Ha ha ha
Tunapendana....
Haya wangu Ben.
Mzima lakini?
Hii ni mizinguo tu bhana hakuna kikosi kama hicho wala kozi kama hiyo na hakuna afisa wa Jeshi anayeweza kuandika pumba hizi kama kweli wewe ni afisa wa Jeshi hebu niambie depth ni nini na inapatikana katika phase gani ya mapambano.Yaani wewe kwa kuwa ni komando basi unavamia wake za watu na kutaka wawe wake zake, angalia kijana. Ukomando wenyewe wa kichina. Madam B njoo huku unatafutwa na Komando.
Zion Daughter hapo red hapo.....hahahha
Mh! Mh! Mh! (busu la mdomoni)
Best wangu hata wewe unanitenga.
Ata siyo wivu,commando gani anawaza migegedo asbh asbh?
Chezeya matifu ya ukommando weye.
Antenna yenyewe haiwezi ku-search lol!
Mimi mzima mpenzi wangu Madame B
Isipokua huyo jamaa aliyetulia hapo kona bar na kujifanya yupo China alitaka kuniharibia siku.Nitamchakaza
Dear wenzio tuna hamu na mnuso..Tupe msimamo maana ake mie sielewi elewi..
Hata hivo naona kamanda Ben Saanane ana nyota kali sana
majany usitake kumsingizia binti yangu mambo ya usangoma. Zion Daughter ni binti mcha Mungu yeye anamtegemea mwenyezi Mungu tu na ndio maana hata wewe pamoja na usharobaro wako umemshindwa kumng'oa. Kama unataka mbinu za kumng'oa inabidi uongee vizuri na sisi wazee sio kupiga kelele mitaani.
Kwakuwa leo tunazungumzia mambo ya rafiki na dada yangu mpendwa kupata Madame B "kiburudisho" cha moyo wake, hayo mengine tutayazungumza panapostahili.
Hahaha.
Best baadae twende kwenye mkutano wa Pipozzzz
Mtoto wa Kitanga wala huna presha imebakia kula ndafu tu.Go on na Ben wako.Dah!
Jamani unanipeperushia ndoa yangu ujue.
majany pepo la uwongo likutoke, ushenga wako kwa Zion Daughter nimeuanza lini?Baba Mkwe hebu acha mambo za kubaniana,ng'ombe wameshuka leo usiku,nitamtuma mshenga a.k.a Mchungaji Bujibuji aje ili tuweke mambo sawa....halafu wale ng'ome 15 waliobaki utakuja kuwachukulia wapi??kumbuka ulisema nikupatie offline
Cc Zion Daughter
C.c Mwa J