Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
huna lolote wewe.
Umejuaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huna lolote wewe.
Kwanza naomba liedit kwanza ulitoe hilo jina kiplagati..hapo tutaelewana..shemeji yangu mimi ni mmoja tu..the one and only one Ben Saanane
Au ndo Evelyn Salt keshakuteka unataka uende kwa mjeda feki wa kichina..ukomandoo chaina???thubutuuu
Nini tshirt nina gwanda tayari..baba yangu mwenyewe Mwita Maranya ni pipoooooooz!!!.
Hata wewe utakuja tu chama kubwa..just the matter of time...lkn tuache utani safari hii Madame B amepata mume wa ukwenheee Ben Saanane . Mie mwenyewe nashangaa mahekima ya madame b..
Kweli kikulacho kiko nguoni mwako, hata Wewe umenigeuka??Siku komando akishuka pale Airport wewe na huyu shemeji Ben mi nitakua nawaangalia tu....!!!!!!!!!
Unaniringishia au?:A S 39::nono:
Kweli kikulacho kiko nguoni mwako, hata Wewe umenigeuka??
Kweli kikulacho kiko nguoni mwako, hata Wewe umenigeuka??
Good morning madame Zion Daughter.
Goed middag@bishanga Bashaija..Karibu jangwani upate maneno ya uzima..
Vie geht es fraulein Zion Daughter? Mir geht es gut.
Aha ha ha..bahati yako kamchina kangu hakana google translate..kwa hiyo??unakuja!!!??
Mtumbwi ukizama hata viroboto hukimbia!
Kaka Bishanga wadada ni wa ajabu sana. Huyu Evelyn Salt alikua akiniita shemeji, na akawa aniambia eti Madame B ananipenda sana, eti hatutoachana mpaka kifo kitutenganishe.
Leo anadai Ben Saanane Ndio shemeji yake, mara sijui mjeda, kweli imeniuma sana kwa jinsi nlivyomgharamikia huyu demu.
Ondoa hayo majina mengine......
Nshakwambia nakugwaya!