Hahahaha katika vita NILIZO pambana na nikashindwa HII ni nyepesi sns LABDA niamue kiacha mwenyewe. HUYU TEMS nafahamu pakumpata naweza jua Leo YUKO wapi naweza tuma ujumbe akauona HAPO Kuna KAZI,? Sasa nilisha wahi kumfukuza Dem SIJUI KWAO SIJUI hata jna analo tumia mitandao ya kijamii SIJUI uraia wake MANA tulikyan KWENY inshu za utalii MWISHO WA picha niliibuka staring WA muvii kibabe nikajilia VYANGU bila bughudhaEndelea kuota😂
Nashukuru Sana kwa USHAURI . Kumbe jux ange KUJA kukuomba USHAURI nawe unge mshauri hivo? kwa Nini unasema NDOTO za alinacha umedharau? Ume puuzia? MBONA wadau WENGI TU wameoa wazungu hawakuwaona HAO wabantu. SIJAja kuomba USHAURI WA maamuzi nmeomba mbinu jitahidi uelewe JAMBO kabla ya kushauri mkuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏tafuta mbantu mwenzio mtengeneze acha na ndoto za alinacha,zipo pisi bongo zimetulia
Hujui kama ana Nyumba Masaki hua anakuja kusikilizia one time?Yesss Hahahaha mkuu hayo NDO mambo NAPENDA SASA NGOJA nijaribu ILA MBONA Kodi za NAMBA ni za kibongo mkuu anyway🙏🙏🙏
Kwishaaaaaa
Bro Alex on la beats yoow.................. Jah iz really
Shida yako huna iman, machimbo yote nayajua mimi.Kaka UNANI nywesha chai bhana unataka kunitapel HADI mi NDUG Yako kweliiiiiii
Kwishaaaaaa
Bro Alex on la beats yoow........... Jah iz really
Jack Nimeshangazwa na JAMAA YANGU ETI ANAMPONDA. HIVI ni lazima KILA MTU awe demu mweupe? mi ni tofauti wanawake weusi wannanipa msisimko mkuu. Akiji cream TU napga chin mkuu hahahahaha
Harmful umenikumbusha mbali mkuu harmful substances heshima kwako mkuu ili jina limenipa kumbukumbu KUBWA SANA nmewakumba classmate wenzangu ktambooJack Nimeshangazwa na JAMAA YANGU ETI ANAMPONDA. HIVI ni lazima KILA MTU awe demu mweupe? mi ni tofauti wanawake weusi wannanipa msisimko mkuu. Akiji cream TU napga chin mkuu hahahahaha
Kwishaaaa
Bro Alex on la beats yoow ................. Jah iz really
Huko ni mbali sana sasa je utamfata?Alisha hama huko Yuko USA
Kwaishaaaa
Mh! Umehamia kwangu tena😂😂SIJAJUA ila ikishindikana tatafuta mbongo mwenzangu. VIPI UNASOMAJE HAPO ukiziba NAFASI ya TEMS? MANA HUYO alivo Saini rock nation ya jay z TU, NILIONA hatuto wezana.
Kwishaaa