Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Watu wa aina hiyo wanakuwaga " wakali" sababu kubwa " unawanyima uhuru".Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri)
Nikimfumania mara nyingi anakuwa mkali nami namwomba msamaha kwa kumuudhi. Hapo naweza mbembeleza hata week nikilia ndo ananisamehe kwa shingo upande sana.
Kiukweli nampenda na sipendi kumpoteza. Huwa namwambia basi anapo ni cheat awe makini nisiwe najua mwenzie anaumiza roho yangu anajibu sawa atajitahidi. Haupiti mwezi anarudia tena.
Nikimuuliza anakuwa mkali kuwa kwa nini namfuatilia na kumfanya akose uhuru.anasema mimi mlalamishi sana.
Sasa toka lasti wiki napiga simu hapokei.nimeenda anapoishi hayupo. Nimehangaika sana. Jana katuma msg kuwa hanitaki tena... Nmeumia sana kwa kweli nawaza nitaishi vipi nami nlishamzoea...natamani kunywa sumu. Hata sijui ipi ndo nzuri. Sijalala usiku kucha namuwazia Kidawa.
Mpe uhuru moja kwa moja. Acha kuwa zoba