Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

Miongoni mwa kanuni za msingi na vigezo vya uhusiano wa kimapenzi wenye afya ni pamoja na heshima/adabu baina ya wapendanao.

Huyo hakuheshimu anakudharau na hicho ni kitu kibaya.

Hakupendi.

Akufukuzae hakwambii toka.

Sasa unajisikiaje kung’ang’ania mtu aso kupenda?

Utapata mtakaeoendana Kwa dhati ya moyo.

Jifunze kuwa na subira.
 
Mzee nilivyoona kichwa cha uzi nikajua una changamoto kama zangu za kiuchumi ili tufarijine kumbe na ww ni mseng.e pussy inakuliza na kukufanya uwe bwege kiasi hiko came on nigga.

No wonder CCM haitoki madaraki kwa akili hzi.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndugu yangu hivi utajisikiaje ukiwa na mwanamke ambaye anatabia za kiume na misimamo ya kiume kama wewe! Bilashaka hutapenda kuwa naye kwakuwa anakuwa kama wewe Tu si ndiyo?

Sasa wanawake nao hawapendi kuwa na mwanaume ambaye anakuwa kama wao,inamaana hawana tofauti yoyote unakuwa kama wao! Hicho ndicho ulichokionyesha Kwa demu wako.

Unajua kwanini wahuni wanapendwa na pisi Kali? Kwasababu they don't give a shit! Na kuwafanya wawe special!

Jipange upya next time be a man!
 
Hapo hakuna maumivu bwana mdogo ni unadeka tu.

Ushawahi kutana na maumivu ya kuchaniwa mkeka na timu moja?

Achana na mapenzi utakufa mbwaa ww njoo huku tupambane na kanji.
 
We kunywa tu maana maidha ni popote
 
Halafu ukijinyonga kuna watu watasikitika kwa ujinga wako
 
Tatizo la nne limeongezeka kwa mtanzania
* Ujinga
*Umasikini
*Maradhi
*Nyege
 
Kwanza Pole mzee .... alafu punguza ufala yani unaupiga ufala mwingi sana hizo nguvu unazotumia kwahuyo manzi unge invest kwenye kutafta pesa nafkiri ungekuwa mbali sana ... kila mara nasema ivi VIJANA TUTAFTE PESA tutapunguza hizi fedheha za kulia lia kizembe ivi na heshma itakuwepo ...
 
Nina Sumu hapa inaua vzr sana Mkuu
Njoo uchukue
 
Kwaulofa huu, we kunywa tu maana huna akili. Kwani umeambiwa unaishi kwenye Disney World. Aisee kunywa uzinduke panapokustahili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wewe ni Me au Ke? Tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…