Nampenda ‘Seran’ ila nahisi kashachukuliwa na mwana JF fulani hivi?

Status
Not open for further replies.
Eh mambo ya kuua mtu kisa nyapu ya mtu mwngn nalo n ungese

Jamaa alilost aisee na alifia gerezani kabla hata hajahukumiwa, unajua miaka ile ukiwa mountain bike unazuka tu Uyui, Gals, Mihayo, Mirambo kila demu anajilengesha so akaja kumpata huyo anaitwa Zakia nakumbuka wa Mihayo then akawachanganya wa Uyui (mwenye bike) na wa Boys mzee wakatafutana siku kuna mechi boys mpira umeisha tu wakadungana visu na wote wakamkosa Zakia mmama leo hii na jamaa wote RIP wakiwa fomfoo tu
 
Upuuzi huu
 
Mno Wanaona aibu tu bwashee
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…