Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.
Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.
Nimtakie pumziko la milele