Nampongeza Hayati Membe kwa kutojilimbizia mali wala kuwaingiza watoto wake kwenye siasa

Nampongeza Hayati Membe kwa kutojilimbizia mali wala kuwaingiza watoto wake kwenye siasa

VIONGOZI AMBAO WANATOKA DINI YA WAZUNGU HAWANA TABIA HIZO SANA.

HIZO NI TABIA ZA VIONGOZI WANAOTOKA DINI YA WAARABU.. MAANA HATA NCHI ZA WAARABU MADARAKA NA UONGOZI HUWA UNATOKA FAMILIA ZILE ZILE.
SAUDI ARABIA, QATAR, OMAN, UAE, ZOTE HIZO ZINATAWALIWA NA UKOO MMOJA TU MILELE

TAZAMA WATOTO WA NYERERE, MKAPA, MAGUFULI KISHA LINGANISHA NA WATOTO WA MARAIS AMBAO SIJATAJA WA DINI YA WAARABU
 
Mungu amlaze pema. Ila kuhusu utajiri wake ni bora tuendelee kujua kuwa hana kitu. Kwa mtu aliyewahi kupita kwenye vyeo kama vyake kusema kwamba ile nyumba tunayoiona leo mitandaoni ndo pekee aliyo nayo itakuwa ngumu sana. Isitoshe kwa mtu mwenye nia ya kuwa Rais wa TZ huwa lazima afiche sana kuhusu utajiri wake.
 
Utajiri, uwekezaji na maendeleo si dhambi wala sifa mbaya.
Swali ni mhusika amevipataje? Je amefikaje hapo?

Kwa upande wa pili, kuwa maskini au wa 'kawaida' pia si dhambi; lakini SIO sifa njema au kigezo cha uadilifu.

Nijuavyo, ni ngumu sana mtu kwa yeyote wa CCM au "aliyekulia" humo kutoka 'msafi'.
Kwa sababu Mfumo na utamaduni wao hauruhusu hata kidogo chembe ya uadilifu, uaminifu au uwajibikaji - kwa maana halisi ya maneno hayo.
Wanayatumia tu lakini kwa tafsiri na maana yao, ambayo ni tofauti kabisa na uhalisia.

Kuepusha controversy, tujiepushe 'kumwaga sifa' kwa viongozi wetu hasa wanapofariki.
Huu utamaduni wa kutengeneza au kukuza legacies inabidi tuutizame upya.

Nawapa pole familia ya Membe na wafiwa wote!
 
Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.

Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.

Nimtakie pumziko la milele
Bil 9.8 siyo kutaka kujilimbikizia mali tena?
 
Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.

Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.

Nimtakie pumziko la milele
Hiyo nyumba iko wapi sasa
 
Back
Top Bottom