Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Mzee sumaye jeOngeza waziri mkuu wa zamani Msuya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee sumaye jeOngeza waziri mkuu wa zamani Msuya.
VIjana hawajui kuwa nchi hii inaongozwa na Cartels by any cost.Hamfahamu huyo, yule kala kimya kimya uwaziri akiwa kijana kabisa huko bungeni
Duuh! Asante kwa ubuyu huuHuyo ni mtoto wa nje ya ndoa wa Cleopa David Msuya.
Aliamua kujiita Mathayo David Mathayo ili kuficha Identity ya baba yake.
Kuna some bad blood zingem cost na hatimaye kutopata ubunge kama angetumia jina la baba yake
Yule yesu wa bungeni?Unamfahamu Mathayo David Mathayo?
Tuoneshe hivyo vya nje.Ukishindwa kuonesha wewe ni mwehu mchangamfu!Wanawekeza nje acha kupumbazwa na unavyoviona!
Mmeamua kuweka list ya ndugu zenu, mnapaswa pia kuwaenzi kwa maandishi rasmi(vitabu) huku kumbukumbu hazitafika mbaliOngeza waziri mkuu wa zamani Msuya.
Yule binti mtulivu sana, hata mie nilisikia na mtoto wa mkulima alisema achana nayo tulia tu, hilo karatasi sikuwa nalifahamu duniani kuna watu wana roho mbaya na ndiyo wanaishi maisha marefu sasa.VIjana hawajui kuwa nchi hii inaongozwa na Cartels by any cost.
Nakumbuka kulikua na fainali moja ya viti maalum ambapo mtoto wa Pinda alifungana na Mpwa wa Yusuf Makamba, kipindi hicho Pinda ndiye waziri mkuu na alialikwa kusimamia uchaguzi ule na Makamba ndiye katibu wa CCM akiwa ndiye mkurugenzi wa uchaguzi ndani ya Chama.
Kilichotokea baada ya mabint wale kufungangana, Mkurugenzi wa Uchaguzi (Makamba), akashauri badala kwenda round nyingine ili kupata mshindi badala yake waandike majina ya wagombea kwenye karatasi tofauti, yakunjwa then apelekewe mgeni rasmi achague jina moja. Wazo likaonekana ni jema.
Mzee Makamba akachana vipande vya karatasi na kuandika majina na kumkabidhi Mheshimiwa Pinda, ambapo akachagua kikaratasi kimoja na yule mpwa wa Makamba akaibuka mshindi na kutangazwa.
Wazee wa nongwa (TISS) pale ukumbini walisha smell something fishy wakawa wanafuatilia kila kitu.
Vile vikaratasi vilipochanwa na kuwa dumped wakaenda kuviokota na kuanza kuviunganisha ndipo wakaona vikaratasi vyote viwili viliandikwa majina ya mpwa wa Makamba, hivyo hakuna namna yule mwingine angeshinda.
Taarifa zilipomrudia mtoto wa Mkulima alionyesha utulivu na kushauri liachwe maana ndiyo siasa na 'mshindi' amesha tangazwa.
[emoji3] ulikuwa gizani eeeDuuh! Asante kwa ubuyu huu
Pole yako ama labda una ajenda unataka kuwaaminisha jamii isiyojua undani wake na mali alizonazo na ziko wapi na kaandikisha kwa jina la naniNimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.
Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.
Nimtakie pumziko la milele
Wewe chizi maarifaTuoneshe hivyo vya nje.Ukishindwa kuonesha wewe ni mwehu mchangamfu!
Kwahiyo unasimanga JMK?Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.
Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.
Nimtakie pumziko la milele
Makini sanaAmina, huyu ninamweka kwenye kundi moja na Jackson Makweta (MHSRIP)hawa hawakua royal families, royal families zimeifilisi nchi hii big time kutokana na greed zao,flu kidogo wanakimbilia UK,USA au Millpark Hospital, mlaaniwe na vizazi vyenu ambavyo vinakua na kuishi in a gravy train
Msuya amepeleka umeme na barabara huko upareni, kwa manufaa ya wapare na wasio wapare, kuwa na adabu ukimtaja mzee msuyaOngeza waziri mkuu wa zamani Msuya.
Kwa pumziko la milele yeye ndiye aliyekuwa muamuzi mkuu,wewe huna nafasi katika hilo.Kama alicheza karata yake vibaya sorry,bahati yake mbaye.Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.
Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.
Nimtakie pumziko la milele
Duh 🙄 !Amina, huyu ninamweka kwenye kundi moja na Jackson Makweta (MHSRIP)hawa hawakua royal families, royal families zimeifilisi nchi hii big time kutokana na greed zao,flu kidogo wanakimbilia UK,USA au Millpark Hospital, mlaaniwe na vizazi vyenu ambavyo vinakua na kuishi in a gravy train
Musiba naye ana ma apartments kayatoa wapi!? Kwa kuwazushia wengine uongo, chuki na ghiribaNayo ni sifa!
Kwa upande wangu mimi, tangu Kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005; hakuwahi kukosea kitu na hadi anamaliza mhula wake wa uongozi, alikuwa hajakosea kitu. Mara nyingi JK tumekuwa tukimkosesha sisi.Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.
Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.
Nimtakie pumziko la milele
Wapo lakini hawatumii jina la baba yaoNimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.
Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.
Nimtakie pumziko la milele
lipi hilo bwashee tulijue na sisi isije kuwa ni rumors za kitaa.Sio kweli. Kule mtwara ana bonge la hotel
WATANZANIA bna!Mtu amekuwa waziri wa mambo ya nje Kwa miaka 10.Waziri anapokea million 16 Kwa mwezi pamoja na posho,atashindwa kumiliki hoteli kweli!!Hata kampuni ana uwezo wa kumiliki.Asiwe na project zake sasa huo mshahara alikuwa anaupeleka wapi!Sugu amekuwa mbunge Kwa miaka 10 angalia project alizonazoSio kweli. Kule mtwara ana bonge la hotel