Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ongeza waziri mkuu wa zamani Msuya.Amina, huyu ninamweka kwenye kundi moja na Jackson Makweta (MHSRIP)hawa hawakua royal families, royal families zimeifilisi nchi hii big time kutokana na greed zao,flu kidogo wanakimbilia UK,USA au Millpark Hospital, mlaaniwe na vizazi vyenu ambavyo vinakua na kuishi in a gravy train
AmenNimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.
Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.
Nimtakie pumziko la milele
Hasa ile ya baharini ni kiboko.Hawapo Katika lakin lazima wapo somewhere wanalamba Asali kubwa like TANZANIA Bank nk in short Mtwara Jamaa kajenga hotel za viwango vikubwa
Mtu mwenye busara na Upendo hawezi kuwaingiza watoto wake kwenye Siasa!Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.
Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.
Nimtakie pumziko la milele
Unamfahamu Mathayo David Mathayo?Ongeza waziri mkuu wa zamani Msuya.
Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.
Lakini pia hatua kubwa aliyofikia kisiasa tulitegemea watoto wake wawe wanasiasa lakini hakuna mwanafamilia aliyepachikwa kwenye siasa kwa kubebwa. Amekuwa mtu wa kutokukuiweka familia yake mbele na kuwafanya wanawe wasiwe maarufu nchini.
Nimtakie pumziko la milele
NAF Hotel au ipi?Hasa ile ya baharini ni kiboko.
Haamki kashanuka huyo mjomba akizinduka tu atasindikizwa na rungu la bwana portuary ili alale kwa amani, Acha furaha ziendeleeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]Kwahiyo vipi ukimuamsha haamki huyo kachero mbobezi atakuwa anawachora mara pa kaamka kesho tutaweka wapi sura zetu za furaha
Mie pia nimefika kwake Rondo - Chiponda ni maisha ya kwaida.Nimefika nyumbani kwa Mzee Membe, ni makazi yakawaida sana tofauti na vile tulivyodhani.