Nampongeza sana Aslay Mihogo, vijana kuweni wabunifu

Aslay unatumia account hii kumbe?
 
Aslay unatumia account hii kumbe?
 
Tuwekee picha ya ulichokula
 
Hata nyumbani sili mihogo na samaki.
Samaki anaenda na chips, wali, ugali au ndizi. Kwanza huwa nawashangaa watu wanawezaje kula mihogo sahani nzima tena wengine kwa pilipili tu wakati mimi hata vipande viwili kumaliza ni shida.
Ingawa mie sio mlaji sana lkn katika chakula nnachoweza kula sn ni mihogo. Yaani hadi leo mchana pia nimekula huohuo. Ila baadae inanitesa kwa gesi lkn sikomi
My favourite muhogo wa nazi kwa nyama ya jembe πŸ˜‹
 

Attachments

  • Screenshot_20241123_185815_WhatsApp.jpg
    293.1 KB · Views: 4
Ingawa mie sio mlaji sana lkn katika chakula nnachoweza kula sn ni mihogo. Yaani hadi leo mchana pia nimekula huohuo. Ila baadae inanitesa kwa gesi lkn sikomi
My favourite muhogo wa nazi kwa nyama ya jembe πŸ˜‹View attachment 3159762
umenikumbusha Pwani nimekula sana hivi, hasa hasa kile kipindi cha mfungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…