Nampongeza Zari The Boss kwenye hili

Hapana watu kama wewe mmezidi, umbea umbea tu dhidi ya mtu ambaye hana hata habari nanyi. Kama si ukisebengo nini.

sina comment ya kukufurahisha hapa
Na usinipangie hutaki kamlambe makalio huyo bi tukinao
Afu quote hao team yake watakufurahisha
 
we nae pita hivii
Imekuuma kanye boga
Ukiona maisha yake binafsi yanakuudhi, ni rahisi tu. Saga chupa, koroga kwny maji kisha unywe. Chuki, wivu na husda vitakuishia. Unawezaje kuwaita watoto wa mwenzio eti majambazi? Eboo !!
 
sina comment ya kukufurahisha hapa
Na usinipangie hutaki kamlambe makalio huyo bi tukinao
Afu quote hao team yake watakufurahisha
Saga chupa unywe kama unamchukia. She is there to stay.
 

Yap aliaibika kweli ashukuru tz imempa umaarufu
 
Yuko sawa lakini pia kaongea kwa mbwembwe..hekima ya kumjibu mpumbavu ni kukaa kimya na kusonga mbele
 
Warudiane tu walikuwa wanapendeza sana kama couple. Na DP hatapata mwanamke mzuri na mwenye akili ya maisha kama Zari. Pia itakuwa ni vizuri kurudiana kwa ajili ya watoto wao.


 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya bwana nadhani umeng'amua ukweli ndio maana umecheka. Haya maisha ni mafupi haipendezi kuwapa watu wengine stress/msongo wa mawazo. Kila mtu ana haki ya kuvuta hewa tuliyopewa na mwenyezi Mungu kwa amani.
 
Haya bwana nadhani umeng'amua ukweli ndio maana umecheka. Haya maisha ni mafupi haipendezi kuwapa watu wengine stress/msongo wa mawazo. Kila mtu ana haki ya kuvuta hewa tuliyopewa na mwenyezi Mungu kwa amani.

Nimecheka sanaa aisee
Ungenitafutia ban weweee na sitaki ban
 
Reactions: BAK
Huyo mwanamke angekuwa mzuri kama mke wangu, angekuwa na pesa kama...., angekuwa na elimu kama..., nadhani angetamba sana.

NB:Asiseme watanzania anakuwa ameattack kundi kubwa sana,watz wengene hatuna ata shobo na life lake, afu ajue kabisa hapa tz, kuna watu wana maisha mazuri, warembo, pesa chafu, na watoto wazuri pengine kuliko hata hao wake, ila basi tu hawakuwahi taka kuruka mbele ya camera na hiyo mitandao ambayo mwishowe hata yeye ameshindwa kuihimili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…